Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Hii uliipata kwenye kijiwe cha kahawa nini MkuuHatari, nasikia huyo jamaa alipigiwa simu na tajiri aliyekuwa kwenye meli kwamba huyo tajiri alikuwa na million 80 na ambaye angemuokoa angechukuwaa hizo pesa. Ndo jamaa wakapagawa wakabeba mitungi ya gesi wakaenda kutoboa ili wamtoe tajiri wapate pesa. Ttizo lilikuwa elimu maana walisombwa wote kungizwa kwenye meli maana maji yaliingia kwa pressure kali nao wakafa.
Labda kulikua hakuna namna nyingine mbadala ya kuokoa watu?
Kwaiyo mkuu mpaka wanatoboa kulikua hakuna watu waliokua washakufa au kadhaa walikua tayari?!
!
Kukurupuka Tu Aisee. Yaani Alipoitoboa Tu, Ikazama Mazima. Kwa Sababu Ilizima Usiku Lakini Hadi Asubuhi Ilikuwa Bado Inaelea Tu. Alipoitoboa Tu Mazima Ikazama Hadi Leo. Wangetulia Wakaiivuta Nchi Kavu Wakajaribu Kutoa Watu.
Hapana! Hii ilikuwa ni hadithi tu katika kitabu cha kiswahili darasa la tatu. Ilikuwa miaka ya 90. Mimi nilikisoma mwaka 1995.Mkuu hii meli ndo wanasemaga muwa uliizamisha si ndo hii mkuu
Aiseeee nimeshangaa mno..... Hii nchi imeoza aseeeeMkuu mawakili wa serikali ni tatizo....
Yani makosa 159 lakini wakashindwa kuwapata na hatia...
Too bad, huyo Feleshi aliyekua anaendesha iyo kesi ndo akaja kua DPP!
Sasa hivi ni Jaji Kiongozi...so unaweza kuona system ilivooza
Hahah long time sanaHapana! Hii ilikuwa ni hadithi tu katika kitabu cha kiswahili darasa la tatu. Ilikuwa miaka ya 90. Mimi nilikisoma mwaka 1995.
Long time sana Mkuu!Hahah long time sana
Kwaiyo mkuu mpaka wanatoboa kulikua hakuna watu waliokua washakufa au kadhaa walikua tayari?
Kwahiyo maoni yako ni nini? Kwamba tusiwafukuze kazi watu sababu tunakufa?Kwenye hio meli alifariki jamaa aliemfukuza kazi mzee wangu lakini Mungu alikua pamoja na mzee wangu alifanikiwa kujiajiri na mambo yakawa vizuri tuu
Sio rahisi hivyo ukichukulia ziwa ni inland hakuna meli kubwa ya kuivuta kutoka ndani
Coment za nyuma mhanga ameshajitokezaUzi utakua mtamu zaidi akijitokeza mhanga wa ajali ya bukoba hili atupe picha halisi ya siku ya tukio......
Hili nitatizo. Nimeshuhudia hapa kazini kwangu kirikuu aka suzuki carry imeandikwa inapakia kilo 350 lakini inabeba tani 2. Hatari sanaSijui watanzania tuna tatizo gani na kuoverweight hata kwenye gar imeandikwa tan moja gar inabeba tan na nusu siti za watu wa tano tunakaa 9
Aiseee so waliwakuta wameshikanakiliniuma sana wale wanafunzi wasichana wa Rugabwa waliokuwa wamemaliza kidato cha sita wote waliteketea; walivyoona sasa wanakufa walishikana wote kuagana kwa safari ya milele - too sad.
Hata Mimi hapo sijasadikiWalipigiwa simu tokea wapi mkuu!???na kampuni gani!??ilikua 1996,21 May Kumbuka!!