Tujikumbushe, ni kitu gani kimewahi kukutoa ushamba!?

kweli?????, niliambiwa ukitaka kugusa maji ni mpk uwe umezima kwenye switch, labda ilikua mbovu kweli maana nilirushwa kweli
Uvae viatu ukiwa peku hata kama ni heater mpya/nzima utarushwa tuu, hamna namna.
 
Siku ya kwanza kula tunda...... Niliitafuta sana kwa mbele, kumbe imejificha kwa nyuma.
A[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji216]
 
Naingia benki mara ya kwanza baada ya kufungua mlango na kuingia naona mlango unarudi wenyewe sasa nikaogopa usije kujibamiza kwasababu ni wa kioo nkaushika na kuuanza kuupeleka taratibu .

Mlinzi ndo akanambia hauna shida we achia tu
Ahahahaha
 
Mim nilikua nikiona oven kwenye tv najua na zenyewe ni tv dah
 
Mara ya kwanza kuendesha gari nilikuwa natumia miguu miwili kucheza Na automatic transmission wa kulia una accelerate wa kushoto una break[emoji23][emoji23][emoji23] kweli ushamba mzigo
Cha ajabu kwny car racing trainings wanafundisha kutumia miguu 2 kwny automatic car kwa usalama zaidi.
 
haaaah aiseee tupo weng complicators
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…