Tujikumbushe, ni kitu gani kimewahi kukutoa ushamba!?

Siku ya kwanza nimeenda pale quality centre bhana. Aisee nilikaa nje kama nusu saa natafuta mlango uko wapi. Alikuja jamaa mmoja akakaribia kioo mlango ukafunguka akaingia ukajifunga daah sikuamini. Niliposogea na mimi pakafunguka nilijiona mbulula la kwanza
Hahahaha!!!
 
Siku ya kwanza kutumia Heater, nilikua nachemsha maji ya kuoga sasa nishaiwasha nikawa nagusa maji na vidole kama yameishapata moto weeee nilirushwa huko, watu waliokuwepo wakawa wananisema kwani ulikua hujui huo ni umeme na maji. Nikawa naogopa hadi kuwasha taa ukutani(umeme mmmh)
 
First time naenda kunyoa saloon, baada ya kumaliza nikajua kuwa ukinyolewa unatakiwa uzoe nywele zako uondoke ukazitupe mwenyewe. Nikaanza kuzoa, jamaa akaniambia acha tu nitazoa dogo...
Kwa kweli sikurudigi tena ile saloon (Fina Bar Ngokolo Shinyanga)
Hahaha Chalii we ni kiazi asee Hahahaha
 
Siku ya kwanza kutumia Heater, nilikua nachemsha maji ya kuoga sasa nishaiwasha nikawa nagusa maji na vidole kama yameishapata moto weeee nilirushwa huko, watu waliokuwepo wakawa wananisema kwani ulikua hujui huo ni umeme na maji. Nikawa naogopa hadi kuwasha taa ukutani(umeme mmmh)

Hahahaha hii ilinikuta pia mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi mara ya kwanza naingia supermarket... enzi izo niko zangu form 3... nika chomoka na washikaji tuingie kuangalia angalia supermarket... sasa hatuwezi toka bila kununua kitu ikabidi tuchukue biscuit kila mmoja.. me baada ya kuchukua biscuit kuna wahudumu uwa wanakaa kuangalia mtu asifiche kitu... basi me nikajua ndo nina mlipa pesa yule yule... washikaji wali nicheka sana sikuile[emoji23][emoji23][emoji23]
 
First time naenda kunyoa saloon, baada ya kumaliza nikajua kuwa ukinyolewa unatakiwa uzoe nywele zako uondoke ukazitupe mwenyewe. Nikaanza kuzoa, jamaa akaniambia acha tu nitazoa dogo...
Kwa kweli sikurudigi tena ile saloon (Fina Bar Ngokolo Shinyanga)
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
First time naenda kunyoa saloon, baada ya kumaliza nikajua kuwa ukinyolewa unatakiwa uzoe nywele zako uondoke ukazitupe mwenyewe. Nikaanza kuzoa, jamaa akaniambia acha tu nitazoa dogo...
Kwa kweli sikurudigi tena ile saloon (Fina Bar Ngokolo Shinyanga)
Shikamoo mkuu umetisha
 
Siku ya kwanza kutumia Heater, nilikua nachemsha maji ya kuoga sasa nishaiwasha nikawa nagusa maji na vidole kama yameishapata moto weeee nilirushwa huko, watu waliokuwepo wakawa wananisema kwani ulikua hujui huo ni umeme na maji. Nikawa naogopa hadi kuwasha taa ukutani(umeme mmmh)
Hio heater mbovu mkuu, Kiuhalisia haikupaswa kukutetemesha
 
kweli?????, niliambiwa ukitaka kugusa maji ni mpk uwe umezima kwenye switch, labda ilikua mbovu kweli maana nilirushwa kweli

Sio mbovu mkuu. Heater za kudumbukiza kwenye maji ndivyo zilivyo. Ukitaka kujua maji yana moto labda uguse ndoo pembeni au uzime kwanza switch. Ndio maana haishauriwi kutumia ndoo ya bati na heater. Vinginevyo ukiweka kidole utaona cha mtema kuni
 
ahaaa, ndyo ilikua ni hiyo ya kudumbukiza. nimekuelewa mkuu
 
Sio mbovu mkuu. Heater za kudumbukiza kwenye maji ndivyo zilivyo. Ukitaka kujua maji yana moto labda uguse ndoo pembeni au uzime kwanza switch. Ndio maana haishauriwi kutumia ndoo ya bati na heater. Vinginevyo ukiweka kidole utaona cha mtema kuni
Mkuu Mimi nimeyaongea hayo kama mtaalamu wa Umeme, kama ni ivo basi ata pasi isungeshauriwa kuigusa ili ujue kama imepata moto uanze kupasi, Kikawaida Heater ni element inayofanya conversion kutoka umeme kwenda joto, Voltage ikiwa applied Basi heater hutengeneza Drop kubwa sana hio drop hubadilika na kuwa joto, kiasi kwamba ukichukua Meter upime utakuta kiwango kikubwa Cha power kimekuwa consumed na izo heater elements ivo hakunq direct connection ya umeme kati ya heater elements na Maji tena io metal case inapaswa kuwa earthed ikitokea Waya umegusa accidentally basi earth iondoe io linkage ili kukulinda wewe mtumiaji,
 
Ni vingi kweli kweli.

Kwanza TV.
Nyumbani imekuja TV nabonyeza tu button bila kuelewa nikajikuta nimeweka Lugha ya kichina. Nikaona hamna anayeniona nikazima nikajikausha, watu wamehangaika mpaka wakasoma manual wakairudisha.

LIFT/ ELEVATOR
Mara ya kwanza kupanda lift ilipoanza kuondoka nilihisi kichwa kama kinapata mgandamizo miguu inatetema nikajikuta nimejishikilia sehemu hivi ili nisianguke. Na sikujua namna ya kuioperate so nikashuka floor ya yule mtu kisha nikaendelea kupanda juu kwa ngazi.

NGAZI ZA QUALITY CENTRE/ ESCALATORS
Naweka mguu bado kidogo nile mweleka mguu mmoja ukabaki juu mwingine upo chini halafu nikawa nimejishikilia kwenye kingo. Washkaji walicheka sana na ile komedi
Mimi hiyo ngazi za umeme bado sijazoea kabisa
 
First time naenda kunyoa saloon, baada ya kumaliza nikajua kuwa ukinyolewa unatakiwa uzoe nywele zako uondoke ukazitupe mwenyewe. Nikaanza kuzoa, jamaa akaniambia acha tu nitazoa dogo...
Kwa kweli sikurudigi tena ile saloon (Fina Bar Ngokolo Shinyanga)
Hahahaha mkuu we ni ngosha nini?
 
Back
Top Bottom