Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 519
Tuliohitimu mwaka huu tujuzane selection za secondary lini zinatoka.
Hapana similiki account yoyote insta..Mmmh! Nakata rufaa
Hivi kuna mtu humu kasoma shule ya msingi ngarenaro?.....wale watoto wa pale wamepinda balaa!
Hebu njoo unikumbushe kile kipigo cha mbwa koko pale,2006......
Jason Statham2
Haaahaaa....kisa kaka ake head school[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unanikumbusha kuna mwanafunzi mmoja wa kike alikuwa mgonvi sana na kiburi alikuwa anapewa na kaka yake (walikuwa darasa moja) πππ
Haaahaaa....kisa kaka ake head school[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimsahau huyo tena!... Full mgomvi na kiburi!....ila yale matoto ya matejooo yamepinda!Kumbe umemkumbuka ilikuwa ni shida
Nimsahau huyo tena!... Full mgomvi na kiburi!....ila yale matoto ya matejooo yamepinda!
Haaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...mbavu zangu!Yamepinda kweli kuna siku kaka mkuu alimgeuka dada yake akampa kipondo cha mbwa mwizi.
Kweli mzee,hamna fix hapoAcha fix