Tujikumbushe ni mwaka gani ulimaliza shule ya msingi?

Tujikumbushe ni mwaka gani ulimaliza shule ya msingi?

Me ndio matokeo yametoka juz tu hapa nasubiri mwakani nivae na mimi suruali..

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hivi kuna mtu humu kasoma shule ya msingi ngarenaro?.....wale watoto wa pale wamepinda balaa!

Hebu njoo unikumbushe kile kipigo cha mbwa koko pale,2006......

Jason Statham2

Unanikumbusha kuna mwanafunzi mmoja wa kike alikuwa mgonvi sana na kiburi alikuwa anapewa na kaka yake (walikuwa darasa moja) πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yamepinda kweli kuna siku kaka mkuu alimgeuka dada yake akampa kipondo cha mbwa mwizi.
Haaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...mbavu zangu!

Halafu schoolmate acha kunisema muone, nakumaind hivoo![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Halafu humu naonaga ID kama yake!....tafuta lile jina lake maarufu kitaa humu na wewe uniambie! I bet nahisi ni brotha!
 
Back
Top Bottom