Tujikumbushe ni mwaka gani ulimaliza shule ya msingi?

Tujikumbushe ni mwaka gani ulimaliza shule ya msingi?

Nilimaliza form four mwaka 1971.

Nakumbuka nilifanya vizuri sana.

Somo la English nilipata A++.

Hiyo feat haijawa duplicated tena.

I’m a baaaaaaaaaaadd man/kibabu.
 
Tuliohitimu mwaka huu tujuzane selection za secondary lini zinatoka.
 
View attachment 914900
21314712_514739025532925_4261238204491332538_n.jpg

25
 
Hivi kuna mtu humu kasoma shule ya msingi ngarenaro?.....wale watoto wa pale wamepinda balaa!

Hebu njoo unikumbushe kile kipigo cha mbwa koko pale,2006......

Jason Statham2
 
Back
Top Bottom