Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

Idd Pazi 'Father'
Malota Soma 'Ball Juggler'
George Magere Masatu 'SMG'
Steven Mapunda 'Garincha'
Nteze John 'Rungu'
 
Hivi katika wachezaji wote kuna ambaye alivuma kwa mda mchache sana kama Kalimangongi Ongala
Huyu jamaa wa Abajalo ya sinza nadhani pia aliwahi timkia Brazil na nje kwingneko kabla ya kurudi nyumbani
 
Daud salum - Bruce Lee
Omary Hussein - Keegan
Ezekiel Greyson - jujumen
Juma pondamali - Mensah
Said Mrisho - Zico wa Kilosa
Makumbi Juma - Homa ya jiji
Yusuf Ismail - Bana
Athumani juma Chama- jogoo
Zamoyon Mogella - Golden boy
Method Mogella- Fundi
Deo Njohole - OCD
 
Back
Top Bottom