Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

Ezekiel greyson..... JUJU MAN...ZAMOYONI MOGELA..GOLDEN BOY..JOHN MAKELELE ZIG ZAG...DAUDI SALUM..BRUCE LEE..ISSA KIHANGE ROAD MASTER...FRANK KASANGA BWALYA...MICHAEL PAUL.. NYLONE..Twaha hamidu..NORIEGA... EDWARD chumila.. EDO BOY...THOMAS KIPESE...uncle thom...malota soma... ball jagla...OMAR HUSEIN .. Kevin kegan....SAMUEL AYUBU..BEKI MSTAARABU...SUNDAY MANARA...COMPUTER...RAZAQ YOUSUPH...CAREKA... SALUM KABUNDA..NINJA. .athumani juma chama.. JOGOO...RAMADHANI LENNY..ABEGA....

Itutu Kigi " road master "
Hussein Amani Marshal " Smart boy"
 
sanifu lazaro tingisha

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
1. Sanifi lazaro 'tingisha'
2. Ramadhan Lenny 'mapafu ya mbwa'
3. Idd Suleiman 'nyigu'
4. Athuman Ramadhan 'china'
5. Emmanuel Okwi 'terroriser'.
 
Halafu sasa ukute Majina hayo watangazaji ni Juma Nkamia na Swedi Mwinyi enzi za RTD. Hawa Jamaa kwa kurusha Moyo si mchezo mpira upo katikati tayari pumzi zinawaishia kwa kutangaza hatari. Na mpira wa Tanzania ni Mtamu kwenye redio. Hawa watangazaji walifanya watu waupende mpira sana. Siku hizi mmmh!

Hawa jamaa ilikua unasikia EEEEEEH ASANTE SANA JUMA NKAMIA [emoji445], akipokea mwingine sasa utasikia SWEDI MWINYI *2 naomba niwarudishe kwanza kwa wadhamini wetu
 
Huyu jamaa alikuwa anapiga sana mawe, pamoja na Gaga Rino, Nteze John
Mzee wa kiminyio alikuwa tishio, kuna moja nilienda shuhudia simba na majimaji (majiaji stadium) karibu na katikati ya uwanja alipiga jiwe moja nusu mtamba wa panya uvunjike!
 
Back
Top Bottom