Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 487
- 1,287
Kwa mara ya kwanza hatutasahau unaamka asubuhi unaingia mtandaoni lakini inashindikana, unaangalia bando sina au , unauliza salio full bando ,unajiuliza hivi hii simu yangu imeharibika nataka niende kwa fundi nakutana na watu wengine wanajadili mtandao kuzimwa.
Kuingia Jamiiforum ikashindikana ikabidi tuingilie Kenya yaani nilihisi Kama kuumwa.
Hii habari ya kuzimwa mitandao nilikuwa nasikia kwenye nchi zenye hey hey nyingi lakini nilisikitika hali hii kuwepo Tanzania sitasahau kamwe na iandikwe kwenye vitabu vya kihistoria.
Pia soma>> Watanzania wamefungiwa internet