Pre GE2025 Tujikumbushe Oktoba 2020 kipindi cha uchaguzi, uliteseka na mtandao ukiwa wapi?

Pre GE2025 Tujikumbushe Oktoba 2020 kipindi cha uchaguzi, uliteseka na mtandao ukiwa wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna uwezekano mkubwa mkiwa kundi na mnafanya maasi si wote mtakuwa mnafurahia matendo hayo.
Ni kweli ndio maana baada ya Hayati JPM Kuingia madarakani miongoni mwa mafisadi sugu na wakwepaji sugu wa kodi kuanza kuwashughulikia ilikuwa ni Six Telecoms
 
Unapochangia Mada kuwa na Ustarabu na ujiepushe kutoa Lugha za Matusi na za kuudhi.

Sisi WanaJFs hatuungi mkono lugha za kihuni.
Wewe na wana JFs wa wapi?
Acha kuleta somo la ustaraabu kwenye jumba la Wamisri,
Utazikwa bila mumiani kwa kiherehere cha kutaka kuwasemea wengine
Shabhaaaaash!
 
Kwa mara ya kwanza hatutasahau unaamka asubuhi unaingia mtandaoni lakini inashindikana, unaangalia bando sina au , unauliza salio full bando ,unajiuliza hivi hii simu yangu imeharibika nataka niende kwa fundi nakutana na watu wengine wanajadili mtandao kuzimwa

Kuingia Jamiiforum ikashindikana ikabidi tuingilie Kenya yaani nilihisi Kama kuumwa

Hii habari ya kuzimwa mitandao nilikuwa nasikia kwenye nchi zenye hey hey nyingi lakini nilisikitika hali hii kuwepo Tanzania sitasahau kamwe na iandikwe kwenye vitabu vya kihistoria
Nakumbuka yule mmiliki fake wa gazeti la Tanzanite akitamba kuwa yeye ndiye aliye shauri kuzimwa kwa mitandao.
 
Back
Top Bottom