Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 487
- 1,287
Yupo sahihiHalafu January akiongea yaliyo moyoni mwake alaumiwe?
Makamba yupo sahihi,mitandao inazimwa kweliHalafu January akiongea yaliyo moyoni mwake alaumiwe?
Kuna uwezekano mkubwa mkiwa kundi na mnafanya maasi si wote mtakuwa mnafurahia matendo hayo.Makamba yupo sahihi,mitandao inazimwa kweli
Sawa esta bulawayo.Nilikuwa Kawe na Kamanda Halima Mdee
Umeshapanic dadeki 😂Sawa esta bulawayo.
Ile siku tar 27 October asubuhi watu walipigwa na butwaa hatutosahauKwa mara ya kwanza hatutasahau unaamka asubuhi unaingia mtandaoni lakini inashindikana, unaangalia bando sina au , unauliza salio full bando ,unajiuliza hivi hii simu yangu imeharibika nataka niende kwa fundi nakutana na watu wengine wanajadili mtandao kuzimwa
Kuingia Jamiiforum ikashindikana ikabidi tuingilie Kenya yaani nilihisi Kama kuumwa
Hii habari ya kuzimwa mitandao nilikuwa nasikia kwenye nchi zenye hey hey nyingi lakini nilisikitika hali hii kuwepo Tanzania sitasahau kamwe na iandikwe kwenye vitabu vya kihistoria
Huyo ndio bingwa wa kuzima mitandao, 2015 akiwa na washirika wake mafisadi ya six telecom anajua alichokuwa anafanya na vijana wake hapo masaki IT Command center ya CCM, akitaka kutoa yaliyo moyoni asianzie katikati aanzie mwanzo ili awe na moyo mweupe kabisaHalafu January akiongea yaliyo moyoni mwake alaumiwe?
Benito Musolin alikuwa amechukua HatamuUle uchaguzi sitausahau aseeh. Ilibidi nimpigie jamaa yangu ndio akanielekeza nidownload VPN. Zile siku za uchaguzi niliamua niwe nashinda nyumbani tu sikutaka kukanyaga kijiweni kwangu ndio maana sikupata taarifa kwa wakati kwa kinachoendelea.
Huyo ndio bingwa wa kuzima mitandao, 2015 akiwa na washirika wake mafisadi ya six telecom anajua alichokuwa anafanya na vijana wake hapo masaki IT Command center ya CCM, akitaka kutoa yaliyo moyoni asianzie katikati aanzie mwanzo ili awe na moyo mweupe kabisa
Kuna uwezekano mkubwa mkiwa kundi na mnafanya maasi si wote mtakuwa mnafurahia matendo hayo.
Jan yeye nafsi imemfinya ameamua ku confess mbele ya Dunia.Huyo ndio bingwa wa kuzima mitandao, 2015 akiwa na washirika wake mafisadi ya six telecom anajua alichokuwa anafanya na vijana wake hapo masaki IT Command center ya CCM, akitaka kutoa yaliyo moyoni asianzie katikati aanzie mwanzo ili awe na moyo mweupe kabisa
Unapochangia Mada kuwa na Ustarabu na ujiepushe kutoa Lugha za Matusi na za kuudhi.Yule Mwendawazimu Jiwe
Alisababisha hasara sana just imagine biashara mtandaoni,watu walikula hasara ya kufa mtu umeorder mzigo mara paap mtandao umezimwa ghafla!
Kariakoo bila mtandao ilikua bonge la Janga tulikaa masaa mpaka kuja shtuka kupakua proxy na VPN to late tukidhani ni tatizo la kimtandao kumbe mshamba mmoja kazima switch maniner!
Tusi ni lipi hapo?Umeanza kusahau lugha ya kiswahili.Unapochangia Mada kuwa na Ustarabu na ujiepushe kutoa Lugha za Matusi na za kuudhi.
Sisi WanaJFs hatuungi mkono lugha za kihuni.