Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Wakati tukienda kupambana na hawa CD Primeiro de Agosto, niwakumbushe tu Wanasimba wenzangu kuwa wa Angola siyo watu wazuri kwetu kwani mwaka 2013 tulipigika nje ndani na Libolo ya Angola kwa aggregate iyo ya 5-0 na kutolewa kwa aibu kubwa CAFCL hatua ya kwanza.
Yaani tulizalilishwa sana aisee, ukizingatia jina la hiyo timu iliyotufunga ilikuwa ni fedhea sana kwakweli, na magazeti nayo yakaandika "Simba yakalia Libolo"
Yaani tulizalilishwa sana aisee, ukizingatia jina la hiyo timu iliyotufunga ilikuwa ni fedhea sana kwakweli, na magazeti nayo yakaandika "Simba yakalia Libolo"