Unatumia nguvu nyingi kutafuta habari ambazo ni dhahiri kabisa, wala hakuna anayepinga. Kusisitiza ni kwamba Simba ilifungwa 1-0 hapa Dar na walipoenda Angola Simba ilifungwa 4-0. Miaka 9 tu iliyopita hiyo habari wala hauna haja ya kuitafuta, maana teknolojia ilikuwa ipo tayari juu.
Jambo la msingi ni kujifunza kutokana na makosa. Na ndio maana nikakuwekea hii ambayo miaka saba baadaye Simba ilikuja kuongoza kundi mbele ya Al Ahly, Vita Club na El Mereikh. Huko ndio kujifunza kwenyewe
View attachment 2378532