Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Usiangaike na mleta hoja Mkuu nenda kwenye hoja, waangola sio watu wema na iyo ni fact.. Tulizabuliwa vibaya sana na hao Libolo.. Kwa Mkapa tulipigwa kimoja na huko Angola Libolo walituchomeka vinne jumla ikawa vi5 Kwa 0Joined 28 September 2022
Haya "mwanasimba mwenzetu"
Sisi utopolo tumekusikia
Waliwachomeka vinne au maNne Mkuu!? Wingi wa Libolo ni Mabolo au nasema uongo Ndugu zangu?Usiangaike na mleta hoja Mkuu nenda kwenye hoja, waangola sio watu wema na iyo ni fact.. Tulizabuliwa vibaya sana na hao Libolo.. Kwa Mkapa tulipigwa kimoja na huko Angola Libolo walituchomeka vinne jumla ikawa vi5 Kwa 0
Bila shaka wewe ni mtotoSikujua kama Libolo ni jina hilo halina wingi na umoja. Tuliteseka sana huo mwaka, yaani Kila Kona ilikuwa Simba wamepigwa na Libolo
Hapana kabisa umejivika ngozi ya simba ila wewe ni chura[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mimi ni Lunyasi huoni hata Id yangu
Na kumbuka kipindi tunawatoa hao atretico Sportivo 1993, Angola haikuwa stable country vita kila kona kina Jonas malheiro savimbi walikuwa wanakiwasha sana hivyo hata mpira nadhani haukuwa ukichezwa ki viile maana nchi ilikuwa kwny vita ya wenyew Kwa wenyewe.Bila shaka wewe ni mtoto
Simba ilishacheza nusu fainali na Atletico Sportivo Aviacao ya Angola na kuwatoa kwenye mashindano.
Kwa hiyo hao Waangola wala wasikutishe
Wakati tukienda kupambana na hawa CD Primeiro de Agosto, niwakumbushe tu Wanasimba wenzangu kuwa wa Angola siyo watu wazuri kwetu kwani mwaka 2013 tulipigika nje ndani na Libolo ya Angola kwa aggregate iyo ya 5-0 na kutolewa kwa aibu kubwa CAFCL hatua ya kwanza.
Yaani tulizalilishwa sana aisee, ukizingatia jina la hiyo timu iliyotufunga ilikuwa ni fedhea sana kwakweli, na magazeti nayo yakaandika "Simba yakalia Libolo"
Huu upuuzi washirikishe nyani wenzako wa pori la UtopoloWakati tukienda kupambana na hawa CD Primeiro de Agosto, niwakumbushe tu Wanasimba wenzangu kuwa wa Angola siyo watu wazuri kwetu kwani mwaka 2013 tulipigika nje ndani na Libolo ya Angola kwa aggregate iyo ya 5-0 na kutolewa kwa aibu kubwa CAFCL hatua ya kwanza.
Yaani tulizalilishwa sana aisee, ukizingatia jina la hiyo timu iliyotufunga ilikuwa ni fedhea sana kwakweli, na magazeti nayo yakaandika "Simba yakalia Libolo"
Hilo unalolitaja mara tatu yaelekea hapo ulipo kuna mtu kalijaza maungoni mwako Utopolo wahed wewe.Yaani tulizomewa sana na utopolo. Kila Kona ya jiji ilikuwa ni Libolo Libolo Libolo
Naona Kalpana umemshtukia jasusi wa utopoloWw sio mwana simba kwa nyuzi zako
Mbona Kisugar Kingi [emoji38][emoji38][emoji38]Huu upuuzi washirikishe nyani wenzako wa pori la Utopolo
Wabongo wengi mnawaza ngono ngono, mfano ni hili sakata la Masanja lilivyoshikiwa bango... na magazeti nayo yakaandika "Simba yakalia Libolo"
Huwa tunazingatia mambo mengi tunaposoma uzi wa mtu:Wakati tukienda kupambana na hawa CD Primeiro de Agosto, niwakumbushe tu Wanasimba wenzangu kuwa wa Angola siyo watu wazuri kwetu kwani mwaka 2013 tulipigika nje ndani na Libolo ya Angola
Je, alichokiandika kuhusu hao Libolo kuwapiga nje ndani kina ukweli, amejitungia tu! Maana simba siyo timu ya kupigwa nje ndani!!Ww sio mwana simba kwa nyuzi zako