Hiyo ya kukalia Libolo ni dalili kwamba umewekeza mawazo yako huko. Hata hivyo haujakosea maana haujavunja sheria za nchi, ila nilikuwa nakumbusha tu kuwa watu huwa tunazo tofauti za kuwekeza katika kupanga nini jambo la kuliwekea hojaHapo ngono ipo wapi mkuu?
Yupo sahihi kabisa, miaka 9 iliyopita Simba ilifungwa na Recreativo do Libolo, 1-0 Dar na 4-0 LuandaJe, alichokiandika kuhusu hao Libolo kuwapiga nje ndani kina ukweli, amejitungia tu! Maana simba siyo timu ya kupigwa nje ndani!!
Yaani ilikuwa hivi [emoji116][emoji116]View attachment 2378484View attachment 2378486View attachment 2378487View attachment 2378490
Mkuu mbona we ndio unaetumia nguvu nyingi Kuni prove wrong kitu kilicho dhahiri? Uzi wangu ni kumbukumbu ya kilichotokea miaka iyo kutoka Kwa hao Waangola na jinsi ambavyo ilo jina Libolo lilivyopata umaarufuUnatumia nguvu nyingi kutafuta habari ambazo ni dhahiri kabisa, wala hakuna anayepinga. Kusisitiza ni kwamba Simba ilifungwa 1-0 hapa Dar na walipoenda Angola Simba ilifungwa 4-0. Miaka 9 tu iliyopita hiyo habari wala hauna haja ya kuitafuta, maana teknolojia ilikuwa ipo tayari juu.
Jambo la msingi ni kujifunza kutokana na makosa. Na ndio maana nikakuwekea hii ambayo miaka saba baadaye Simba ilikuja kuongoza kundi mbele ya Al Ahly, Vita Club na El Mereikh. Huko ndio kujifunza kwenyewe
View attachment 2378532
Mtoa mada ametoa tu tahadhari! Maana mnaenda tena kucheza na hao Waangola wengine. Hivyo hatutaki kuona historia inajirudia.Unatumia nguvu nyingi kutafuta habari ambazo ni dhahiri kabisa, wala hakuna anayepinga. Kusisitiza ni kwamba Simba ilifungwa 1-0 hapa Dar na walipoenda Angola Simba ilifungwa 4-0. Miaka 9 tu iliyopita hiyo habari wala hauna haja ya kuitafuta, maana teknolojia ilikuwa ipo tayari juu.
Jambo la msingi ni kujifunza kutokana na makosa. Na ndio maana nikakuwekea hii ambayo miaka saba baadaye Simba ilikuja kuongoza kundi mbele ya Al Ahly, Vita Club na El Mereikh. Huko ndio kujifunza kwenyewe
View attachment 2378532
Mimi sijakuprove wrong, nimekuunga mkono. Labda kama hauelewi maana ya terminology 'proving wrong'Mkuu mbona we ndio unaetumia nguvu nyingi Kuni prove wrong kitu kilicho dhahiri? Uzi wangu ni kumbukumbu ya kilichotokea miaka iyo kutoka Kwa hao Waangola na jinsi ambavyo ilo jina Libolo lilivyopata umaarufu
Kama lengo ni Waangola, mwaka 1993 Simba iliwachapa Atletico Sport Aviacao (ASA) ya Angola 3-1 hapa Dar, na kwenda kutoa sare ya 0-0 kule Angola, na Simba ikafika fainali ya kombe la CAF mwaka huo. Kwa hiyo sio mara ya kwanza kwa Simba kucheza na WaangolaMtoa mada ametoa tu tahadhari! Maana mnaenda tena kucheza na hao Waangola wengine. Hivyo hatutaki kuona historia inajirudia.
Umeona mkuu, Wana simba wenzangu sijui wapoje, Yaani nawapa tahadhari kuhusu hawa Waangola tunaoenda kukutana nao ili Yale ya Libolo yasije kujirudia wanaanza kunishambulia mara oooh huyu ni utopolo, mara amejiunga Juzi Juzi tu humu jf... Sasa kuna Sheria inasema ili upost Uzi humu inabidi uwe member mzoefu???Mtoa mada ametoa tu tahadhari! Maana mnaenda tena kucheza na hao Waangola wengine. Hivyo hatutaki kuona historia inajirudia.
Kama lengo ni Waangola, mwaka 1993 Simba iliwachapa Atletico Sport Aviacao (ASA) ya Angola 3-1 hapa Dar, na kwenda kutoa sare ya 0-0 kule Angola, na Simba ikafika fainali ya kombe la CAF mwaka huo. Kwa hiyo sio mara ya kwanza kwa Simba kucheza na WaangolaUmeona mkuu, Wana simba wenzangu sijui wapoje, Yaani nawapa tahadhari kuhusu hawa Waangola tunaoenda kukutana nao
Kuonyesha profile yako nilikuwa nina lengo la kukadiria umri wako, ili nihoji kama una kumbukumbu (kama ulikuwa umezaliwa lakini) kuwa mwaka 1993 Simba ilifika fainali ya kombe la CAF kwa mgongo wa Waangola, baada ya kuichapa Atletico Sport Aviacao ya Angola 3-1 hapa Dar na sare ya 0-0 huko AngolaWe si umefikia paka kuonesha nimejiunga lini jf ??? Waliosoma Cuba watakuwa wameelewa
[emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe washa kaliaga Libolo miaka kadhaa hukoYaani ilikuwa hivi [emoji116][emoji116]View attachment 2378484View attachment 2378486View attachment 2378487View attachment 2378490
Ndio mfungwe na Libolo sasa [emoji23][emoji23]
Basi ni jambo zuri. Mkapambane sasa. Maana kaka zenu tumejipanga vilivyo kuwaonesha kwamba siku zote sikio halizidi kichwa.Kama lengo ni Waangola, mwaka 1993 Simba iliwachapa Atletico Sport Aviacao (ASA) ya Angola 3-1 hapa Dar, na kwenda kutoa sare ya 0-0 kule Angola, na Simba ikafika fainali ya kombe la CAF mwaka huo. Kwa hiyo sio mara ya kwanza kwa Simba kucheza na Waangola
cc: Simba lunyasi
ni wale wale niliosema upeo wao ni kuwaza ngono ngonoNdio mfungwe na Libolo sasa [emoji23][emoji23]
Hapa hujatoa tahadhari ila umeleta kejeli mno.Umeona mkuu, Wana simba wenzangu sijui wapoje, Yaani nawapa tahadhari kuhusu hawa Waangola tunaoenda kukutana nao ili Yale ya Libolo yasije kujirudia wanaanza kunishambulia mara oooh huyu ni utopolo, mara amejiunga Juzi Juzi tu humu jf... Sasa kuna Sheria inasema ili upost Uzi humu inabidi uwe member mzoefu???
Unatakiwa kutoa maoni yako bila kutumia matusi au lugha isiyofaa.Hapa hujakumbusha ila umeleta kejeli mno.
Na kama unakumbusha na kutoa tahadhari kwa Simba kwanini umejikita kwenye hilo jina la Timu na kurudia rudia, kwani kufungwa na jina kuna uhusiano gani..!
Ndo maana Mkuu SAGAI GALGANO amekuambia kuwa huu upuuzi washirikishe Nyani wenzako huko ndo mtaelewana..!
Ndio mkuu yaani ilikuwa aibu sana