Tujikumbushe sakata la Rada


Mtanzania, people here think this prof is clean, Mmmmm, better ask Mo Ibrahim, how much he spent on the prof. You remember the Mwanza speed boat boats saga, how he went fists with Magufuli!! Open your minds, with CCM no clean fish, all rotten!
 
Mtanzania, people here think this prof is clean, Mmmmm, better ask Mo Ibrahim, how much he spent on the prof. You remember the Mwanza speed boat boats saga, how he went fists with Magufuli!! Open your minds, with CCM no clean fish, all rotten!

IO,

Tupage basi ng'ombe japo mzima si mkia pekee...!
 
Mtanzania, people here think this prof is clean, Mmmmm, better ask Mo Ibrahim, how much he spent on the prof. You remember the Mwanza speed boat boats saga, how he went fists with Magufuli!! Open your minds, with CCM no clean fish, all rotten!

Lete data, amasivyo ni majungu tu...Ni ngapi Mo Ibrahim alimpa, na ni ufisadi gani wa boti...enlighten us...Magufuli alizuia zisipite hapa baada ya wahandisi kusema hazitaharibu barabara...Boti zikakubaliwa na serikali ya Kenya zipite kwao.

As I always say...No research, no right to speak...
 
angalau kidogo wazungu watusaidie kwa hili, manake juhudi za wananchi wa kitanzania peke yake huwa zinachukuwa muda mrefu hata ile kuwafichua tu mafisadi.

wakifanikisha hili wazungu utakuwa ni msaada wao BORA ZAIDI kwa tanzania kuliko mengine yoyote waliyowahi kuitoa
 
Mtanzania, people here think this prof is clean, Mmmmm, better ask Mo Ibrahim, how much he spent on the prof. You remember the Mwanza speed boat boats saga, how he went fists with Magufuli!! Open your minds, with CCM no clean fish, all rotten!

IO,

Lete mambo mkuu, mimi juu ya hili niko wazi kusikiliza pande zote. Siku hizi nimeacha kuwaamini hawa viongozi wa CCM, hata wale niliokuwa nawajua kwa karibu kama wasafi, sasa naanza kujiuliza mara mbili mbili.

Ilifika mahala deals zilikuwa kama ndio sera za viongozi wote wa CCM.

Mwaga kila kitu hapa, ili ambao tuko mbumbumbu tufunguliwe macho.

Najua prof. ana maadui wengi kwa muda mrefu, tena maadui wenye nguvu kama akina Lowassa, Rostam nk. Kwenye hili simweki JK kwasababu pamoja na kushindwa kazi jamaa ana uungwana wa aina fulani. Pamoja na ugomvi wake na Prof. lakini ingelikuwa kwa mapenzi yake naamini wangeshikana mikono na kuamua yaishe. Ila watu kama akina Lowassa na Rostam hakuna cha mambo yaishe. Sasa kama hawa watu wameshindwa kuja na kashfa za Prof. Mwandosya, huenda jamaa sio mchafu ukiachia maamuzi ya pamoja ya baraza la mawaziri.

Nakumbuka suala la boats ambazo Magufuli alikataa zisisafirishwe, je Prof. alikula chake hapo? Najua alikuwa na mikakati ya kutatua tatizo la usafiri kanda ya ziwa na kisha kutumia hayo mafanikio kwenye kampeni zake za urais, je kufanya hivyo ni kosa? Kama kuna la zaidi basi lilete mkuu.

Hilo la Mo Ibrahim najua litakuwa linahusiana na TTCL. Lete habari zaidi.
 
Wakuu,

Mimi naomba hii thread tuitenganishe. Huko nyuma nilikuwa na wazo la kuwajadili mawaziri wote waandamizi kwenye serikali ya awamu ya tatu. Labda huu ni wakati mzuri wa kuanza kuwajadili baadhi yao. Ningependekeza tufungue thread mpya ya kumjadili prof. Mwandosya kama ni msafi au fisadi.

Isichanganywe na mambo mengine na badala yake nguvu zote zielekezwe kwake. Tukimaliza tutaendelea na mawaziri wengine. Huu ni mwaka wa kumkoma nyani bila kumwangalia usoni.

Mnaonaje wakuu?
 
Salaleee! KADA MPINZANI huko aliko sijui kajinyonga? maana alikuwa hapa jamvini akitetea hawa mafisadi kwa nguvu zake zote lakini amegundua wanamfedhehesha kila kukicha.
HAWA MAFISADI HAWABEBEKI HATA KWA KITAMBAA CHA GUNIA.Kada rudi mkuu uombe radhi kwa uliyonena kwani hayakutoka moyoni mwako ila ulitumwa.
 
JK na Mwandosya walipokuwa wizara ya madini. Nimeitoa kwa Mjengwa.
 

Attachments

  • JKnaMwandosya.jpg
    52.1 KB · Views: 45
Wanamuogopa MKAPA kumuhoji?
 
Mnakumbuka muda mrefu waTZ tulilalamika sana kuhusu RADA sasa imekuwa mzigo kwa sisi waDanganyika kwani inahitaji zaidi ya Bilioni 10 za walipa kodi ili kununua kifaa cha 'UPS'.Vigogo kadhaa wameripotiwa kupigana vikumbo kugombea zabuni hiyo ya 'UPS' ambayo imetangazwa na serikali.
Je hii RADA inafaida yoyote kwa sisi taifa dogo la Tanzania?maana tunazidi kuumia na faida yako kwa mwananchi wa kawaida kuiona ni vigumu sana.
 

Lakini kumbukeni huyu Basili Mramba alisha sema kuwa waTanzania tupo tayari hata kula nyasi lazima RADA inunuliwe sijui naye alikuwa na % yake kama Chenge mlio karibu na hawa watu tusaidieni.
 
a 10 billion UPS? how big it must be!

iliyokuwepo imeharibika na haitengenezeki? au ndiyo madeal ya ulaji tena ......

Just wondering aloud ...
 
Hata mimi nashangaa is 10 bn or 10 mn? Maana hii price haingii kichwani kwangu kabisa! Mkuu fidel80 hebu tunaomba confirmation ya hii namba!
 
radar 40 billion, UPS 10! yaani robo ya thamani ya radar ni ups?! hii figa ya kweli jamani?
 
Ninavyo fahamu, ups ni chombo cha kuhifadhi umeme ili kama umeme wa tanesco ukizimika, hifadhi ya umeme iendelee kufanya kazi kwa muda badala ya chombo kinachotumika kisizimike ghafla. Vifaa vingi vinawekewa chmbo hiki, ups - computer, majokofu nk. Kwa kawaida, ups si chombo ghali ukilinganisha na chombo inacho kilinda. Kinachoshangaza hapa ni hivi kweli hiyo ups ya rada ya bae bei yake ni shilingi bilion 10!!! Jamani mwogopeni muumba.

Macinkus
 
But the Minister for Foreign Affairs and International Relations, Jakaya Kikwete, rejects such arguments.
"People say we do not need this system, what are they waiting for? When two jumbo jets crash over Tanzania, will people accept the need for us to have a radar system? This problem is real not fiction," he says.

The foreign minister emphasised not just the government's delight at the new system but also the need for new revenue.
The new system will enable Tanzania to track foreign craft flying over its airspace and consequently collect tax from them, he says.
"We are looking at an increased revenue of $2-5m a year. People are only talking of the $40m that we will spend purchasing the system but what about the revenue it generate?" says Mr Kikwete
.

JE MPAKA SASA WAMEKUSANYA REVENUE YA KIASI GANI, KUNA MWENYE DATA HAPA....jamani hizi sanaa zilianza zamani...hata muungwana alikuwa mmoja wao....$ 2-5m a year my foot where is the money...
http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/1723673.stm
 
What are the specs for the battery?

What are the specs for the Radar itself?

Is there a standby generator to automatically switch the power on?

Since Tanesco is unpredictable, has anyone thought of investing money in solar energy to ensure that the summer draught do not hinder Tanesco ability to supply electricity to our defense and aviation systems?

What does JWTZ use as back up for its Radars?

What was the term guarantee from BAE for service and replacement of parts?

Who came up with the price of $1,000,000.00 for radar UPS battery? Is the price for the Battery only or its is going to include shipping and instalation?

What caused the Battery to fail at first place?

If the battery was bad, what have they been using to supply back up power for the radar in the past 2 months?

If the Radar has been switched off for the past 2 months, what have they been using to monitor civil and millitary aviation activity flying on our skies?

Why no action has been taken in the last 2 months if it is known that this radar is critical to the security of our country and it has not been operating?
 



Mkuu hapa wameweka hata posho za hao watakao enda kukichunguza vile vile wameweka cha juu chao n.k ndo serikali yetu ilivyo usanii kila mahala.
 
Aa,bwana wee, hatujui kama kweli imeharibika au vipi.Kuna methali moja ya kiswahili isemayo wajinga ndio waliwao.Ina wezekana hata haijaharibika,ila wanaendelea kutula tu,si unajua tenaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…