Tujikumbushe Shilole alivyoweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza balozi wa CRDB

Konde gang Kuna mtu anawachokoza huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila mkuu Shishi siyo kwamba alikuwa ni kama balozi wa mojawapo ya "promotion" ya crdb na ilivyoisha Hiyo promotion ndo basi na siyo kwamba ni brand ambassador wa Crdb kwa Ujumla wake kama ilivyo konde.
 
Ila watu mna mahaba na timu zenu mpka mnakera. Kwa hyo Unataka kusema nini hasa? Acha wivu mtoto wa kiume kwa mwanaume mwenzio
 
Ahsante kwa kumbukumbu. Ni vema ukituambia na lengo lako kwa kumbukumbu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…