Tujikumbushe Shilole alivyoweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza balozi wa CRDB

Tujikumbushe Shilole alivyoweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza balozi wa CRDB

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Tukiwa tuna throw back thursday.

Tujikumbushe Shilole alivyokuwa msanii wa kwanza kulamba diili nono ya kuwa ambassador wa CRDB.
Screenshot_20200423-153146_1587666540251.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Konde gang Kuna mtu anawachokoza huku 😂😂😂

Ila mkuu Shishi siyo kwamba alikuwa ni kama balozi wa mojawapo ya "promotion" ya crdb na ilivyoisha Hiyo promotion ndo basi na siyo kwamba ni brand ambassador wa Crdb kwa Ujumla wake kama ilivyo konde.
 
Ila watu mna mahaba na timu zenu mpka mnakera. Kwa hyo Unataka kusema nini hasa? Acha wivu mtoto wa kiume kwa mwanaume mwenzio
 
Ahsante kwa kumbukumbu. Ni vema ukituambia na lengo lako kwa kumbukumbu hii.
 
Back
Top Bottom