Tujikumbushe tarime sekondari

Tujikumbushe tarime sekondari

Manyiri

Member
Joined
Oct 27, 2007
Posts
80
Reaction score
15


tujikumbushe tarime sekondari kwa wale waliokuwepo enzi za 1999 hadi 2002 .kulikuwa na headmaster akiitwa gosori wakati huo tulikuwa tunamuita chai jaba enzi zile za kwenda toilet huku mashati ukiyaacha nje kwa kuhofia ukiingia nalo chooni litatoka na harufu.........
Enzi hizo za full ugari kwa maharage kwa muhula wote bila kuchange diet hata kidogo!!!
 
Back
Top Bottom