iboyamwaka2020
JF-Expert Member
- Jan 14, 2020
- 725
- 844
- Thread starter
-
- #21
da yaani acha tu kibaha shule jamani na ndiyo maaana ufaulu mkubwa utaachaje kufaulu kwa raha zile kila kitu unapataSidhani Kama kuna Shule ya Serikali wanakula raha Kama Kibaha A level tulitupwa Tabora boys na jamaa yangu akawa anapambana rule vizuri Kama Kibaha wakamwambia Kibaha iko chino ya shirika la Elimu alipozidi wakampa kiranja wa chakula, ikawa kimia.
Moja ya wakuu wa shule peace sana.
Baadaye alikuja master mmoja alikuwa anaitwa sijui Kayenga kama zoba zoba hivi na second wake chizi mmoja hivi anaitwa Kachingwe Kaselenge "KK"
Miaka nafikiri tunatofautiana maan wengine Kayenga alitukuta akitokea Tumbi secondaryDa! Mkuu Kayenga alikuwa mwalimu wa taaluma aisee Kaselenge alikuwa wa kawaida tu nakumbuka Mwaipaja alikuwa mtu poa sana tulikuwa tunamheshimu sana, da!
Walimu: Mwampaja, Mbawala, Kaselenge Kachingwe.
Kuna mzee fulani mfanya usafi sijui alikuwa anaitwa Karangaza anaijua historia ya shule tangu enzi za ukoloni.
Bahati mbaya nilikuta Mwampaja ndio anaondoka 2003:.....
2003-2009: One to Six.
Alexander The Great
Kashindwe mzee wa kibasikeliMi nilitoka 2005 mzee...Kashbaba alitukimbiza siku moja sugar kule kidgo nyoka anigonge...sitamsahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wa Pugu na azania tutakujua na uzi wetu, na mzumbe watakuja na uzi wao na wa iliboru watakuja na uzi wao na tabora watakuja na uzi wao, kisimiri, marians, tosamaganga , minaki hapo itakuwaje sasa.....
Aya tushajua nyie vipanga mmesoma kibaha(vipaji msuli) wakuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Just jokes mzeeNa wa Pugu na azania tutakujua na uzi wetu, na mzumbe watakuja na uzi wao na wa iliboru watakuja na uzi wao na tabora watakuja na uzi wao, kisimiri, marians, tosamaganga , minaki hapo itakuwaje sasa.....
Aya tushajua nyie vipanga mmesoma kibaha(vipaji msuli) wakuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
da aisee kweli kunaweza kukawa na mabadiliko kunakipindi miaka ya 1992 kama sikosei nordic countires walifanya ukarabati mkubwa sana ndo wakaweka na yale mapaa yaliyopo mwanzo kulikuwa flat tu juu kama imechoka tena kweli inahitaji ukarabatiu lakini is the best schoolWazee wengine tumeingia pale miaka ya 2000.Mzee Mwampaja sijui yuko wapi..but kuna kipindi alikuwa mkuu wa idara ya elimu...nimepita pale mwaka jana mwezi wa 5 hivi shule imechoka kiasi na walikuwa wanajiandaa na fundraising mwezi August mwaka jana...Mzee rubacha..Msaki..Konga...Mose...Kuwoko..Mbawala wa kemia na Mbawala wa history..Zuberi..Nchimbi...Long time na kweli maisha yanakwenda kasi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
kayenga sisi tulimkuta akiwa mwalimu wa taaluma lakini tulipomaliza mwaka 1993 miaka miwili mbele akawa headmaster hapoMiaka nafikiri tunatofautiana maan wengine Kayenga alitukuta akitokea Tumbi secondary
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kama huamini basi acha sisi tuliosoma hapo tujikumbushe usituhalibie stimHivi kweli mlisoma shule hii? Kwanini mtu mmoja aandikwe Mwampaja na Mwaipaja?
Wazee wengine tumeingia pale miaka ya 2000.Mzee Mwampaja sijui yuko wapi..but kuna kipindi alikuwa mkuu wa idara ya elimu...nimepita pale mwaka jana mwezi wa 5 hivi shule imechoka kiasi na walikuwa wanajiandaa na fundraising mwezi August mwaka jana...Mzee rubacha..Msaki..Konga...Mose...Kuwoko..Mbawala wa kemia na Mbawala wa history..Zuberi..Nchimbi...Long time na kweli maisha yanakwenda kasi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwampaja ndio jina halisi...Hivi kweli mlisoma shule hii? Kwanini mtu mmoja aandikwe Mwampaja na Mwaipaja?
Walimu: Mwampaja, Mbawala, Kaselenge Kachingwe.
Kuna mzee fulani mfanya usafi sijui alikuwa anaitwa Karangaza anaijua historia ya shule tangu enzi za ukoloni.
Bahati mbaya nilikuta Mwampaja ndio anaondoka 2003:.....
2003-2009: One to Six.
Alexander The Great