Tujikumbushe tuliosoma Kibaha Sekondari miaka ya 1993, Mkuu wa Shule akiwa Mwaipaja

Tujikumbushe tuliosoma Kibaha Sekondari miaka ya 1993, Mkuu wa Shule akiwa Mwaipaja

Moja ya wakuu wa shule peace sana.

Baadaye alikuja master mmoja alikuwa anaitwa sijui Kayenga kama zoba zoba hivi na second wake chizi mmoja hivi anaitwa Kachingwe Kaselenge "KK"
Kachingwe Yuko umenikumbusha mbali Sana nilikuwapo katika sherehe ya mwanae

kilicho akilini kitumie
 
Wakuu,

Nimepata hamu sana ya kuikumbuka shule niliyosoma O Level na kumaliza mwaka 1993 Form Four. Hebu kama kuna mtu alisoma kipindi hicho tubadilishane mawazo; wakati huo Mkuu wa Shule Mwaipaja; Second Master Mainoya, kina Mpalaza na wengine wengi.

Karibuni
Mnataka kujikumbusha nini hasa ?
 
Mwanalugali tulikuwa tunashikwa na mijimama wauza maandalizi [emoji38][emoji38][emoji38]
utakuwa uliifurahia sana kss umekaa muda mrefu yaani katika shule hiyo ni zaidi ya shule mkuu sisi tulimuacha mwampaja mwaka 1993 nikaenda zangu mazengoo dodoma five na six aisee acha tuvery interesting story
da mwanalugali yaani acha lakini maisha kipindi hicho yalikuwa raha sana kss napakumbuka sana sijui kama mpaka sasa wanafurahia maisha kama kipindi chetu misele kwa sana mwanalugali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu Kayenga alikua Goi goi, akifika Assemble yeye anaongelea masuala ya Usafi tuu, masuala ya elimu alikua mbali nayo sana

Kuna Cashbaba mzee wa pajero, tumekimbizana nae sana kipindi cha umisetta pale skuli

Tumekula sana maembe kwny miti ya pale, kabla hujatimba class unapitia kwny miembe kupata breakfast

Masharobaro wanakaa Nyanza na Msuli bundi wanakaa Scandia

Cheza sana mwanalugali, mailimoja, Javisco, Mangeshoo, BetiLmerin

Kuna Maza mmoja anaumitwa Mama Nyandingo alikua na Mihogo mitamu kweli kweli[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
babu kayenga ile shule alikuwa siyo size yake ni goigoi sana ila du lijamaa linashuka chemistry balaa A LEVEL ni noma mkuu halafu umenikumbausha dom langu scandia du balaa
 
Jina halisi ni Reuben Mwampaja Headmaster aliependwa na wanafunzi sana..nakumbuka siku moja ulitokea mgomo baridi wa msosi kuna,da sjui nani alimpa taarfa..ilipgwa kengele ya dharula madent wote wamemuna..aliposmama akauliza "eti mnataka Nyali wanangu?wakaitia ndyoo!! Da alisema jioni mtakula Nyali naVyuku!!Da mgomo ulipotea hapohapo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
huyu headmaster alikuwa na akili sana yaani nakumbuka ishu nyingine siku maji yalikuwa hamna mpaka saa nane hakuna dalili ya kula kuna dreva mmoja alikuwa na kitambi alikuwa anaendesha magari ya shule sijui alikwama nini siku hiyo kuleta maji yakiwa yamekatika basi bana wanafunzi wakaanza kutaka kuleta fujo akaambiwa headmaster ikapigwa kengele wote parade da mkuu headmaster alikuja parade kaweka mikono kichwani akaanza kuongea kwa huruma nakuahidi ndani ya muda mfupi maji yanaingia kutoka ruvu yaani wanafunzi walilipuka kwa furaha hasira zote zikaisha jamaa noma ila angekuja hapo second mainoya pangechimbiak maana alikuwa hana siasa yule ni mihasira tu
 
Back
Top Bottom