Tujikumbushe tulipotoka na Maneno ya wachambuzi wa mchongo walivyoiponda Yanga kuelekea kimataifa.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
1.Wanafanyaje pre season Avic Town halafu wanategemea mafanikio kimataifa wakati wenzao wanaenda Nje wanapata exposure.

2. Nabi sio kocha wa kimataifa na hana bahati kabisa na mechi za kimataifa.

3. wanakata upepo kipindi cha pili.

4. Yanga wanacheza friend mechi na chenza fc wenzao wameenda Dubai.

5. Yanga haina uzoefu kimataifa na wale Mazembe hawajawai kufungwa na Team kutoka Tanzania.

6. Rivers hawajawai kupoteza uwanja wao wa nyumbani.

7. Watamkumbuka FEISAL

8. Rais wao ana ushikaji na wachezaji sana.

9.wamesajili bendi ya wakongo hawatofanya lolote kimataifa.

ONGEZEA.
 
Wakiongozwa na Jemedari Said Kazumari mbwiga wa mbwiga.
 
Wachambuzi walikuwa sahihi na walichosema kilishatokea. Yanga ilitolewa raundi ya kwanza na Al Hilal ya Sudan
 
Saizi kila siku wanakuja na Takwimu mpya
kwa kuwa zipo, huwezi ukaja na kitu ambacho hakiexist 😁 . Kuna watu hawajui kuwa, ukiacha Simba na Gor Mahia, hata Sports Club Villa (Jogoo) ilicheza fainali ya Kombe la Washindi Afrika, lakini wakaleta uzi kwamba Yanga ndio ya kwanza kucheza nusu fainali Afika Mashariki 😁😁😁. Sasa mtu kama huyo kwa nini usimletee takwimu ili ajione mweupe?
 
Ally kama na Puriva.

Hawa HAWAJUI mpira kuwa ni Fair pray.

Wanaenda kuzicheka timu zilizotolewa.

HAYA mambo ya KUCHEKA, kupokea wageni, wenye akili WAWILI, VIONGOZI wenye vinyesi ni yanga tu.

UJINGA UNAZIDI KUKUA KWA KASI SANA
 
Mmetolewa hatua za awali klabu bingwa hivyo wachambuzi walikiwa sahihi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…