NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
1.Wanafanyaje pre season Avic Town halafu wanategemea mafanikio kimataifa wakati wenzao wanaenda Nje wanapata exposure.
2. Nabi sio kocha wa kimataifa na hana bahati kabisa na mechi za kimataifa.
3. wanakata upepo kipindi cha pili.
4. Yanga wanacheza friend mechi na chenza fc wenzao wameenda Dubai.
5. Yanga haina uzoefu kimataifa na wale Mazembe hawajawai kufungwa na Team kutoka Tanzania.
6. Rivers hawajawai kupoteza uwanja wao wa nyumbani.
7. Watamkumbuka FEISAL
8. Rais wao ana ushikaji na wachezaji sana.
9.wamesajili bendi ya wakongo hawatofanya lolote kimataifa.
ONGEZEA.