Tujikumbushe tulipotoka....

hahahaha alu tumetoka bali jamani enzi za hirizi kiunoni kwa imani ni ulinzi kwa mtoto. Mungu tufunguwe katika vifungo vya ibilisi
 
hahahaha alu tumetoka bali jamani enzi za hirizi kiunoni kwa imani ni ulinzi kwa mtoto. Mungu tufunguwe katika vifungo vya ibilisi

Kwamba shanga ni vifungo vya ibilisi, hapana siamini, mbona tunavaa mikufu ya misalaba shingoni, pia tunafukiza madhabahu sasa kuna tofauti gani hapo. Shanga ni pambo tu kwa mtoto na kwa mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…