Tujikumbushe: Ujenzi wa Daraja la Jangwani kuanza Desemba 2022

Hawa Ccm Wanatuchezea Sana Sana
Hawanaga mipango endelevu

Hawa...sahvi sijui depot ya udart wataiweka wapi maana ubongo
Wampe mchina pale,tetesi watahamia
Sim 2000 na sim 2000 tuliyozaliwa ocean Road tunajuwa hilo ni eneo la posta ..

Udart/uda yard yao ya kule kurasini
Wamempa galco gisiem

Nchi hii mambo wanayofanya wanajuaga wenyewe

Ova
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭🤣🤣😭😭😭 kuna wakati unacheka jinsi mipango na maelezo vinapopishana halafu ghafla unapatwa na huzuni na kuangua kilio.
 
Kwani Ikulu inatumika? au BOT?
 
Vituko tu

Basi angalau wawe na mipango endelevu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…