Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa serikali ikiwa ni pamoja na fedha na mabadiliko ya vipaumbele, utekelezaji wa mradi huu mkubwa na muhimu kwa uchumi na wakaazi wa jiji la dar es salaam, utaanza kutekelezwa mwaka ujao wa fedha.
Tayari EU, WB, ADB, serikali na wadau wengine wa maendeleo wamekubali kufadhili mradi muhimu. Na kwa wakati muafaka mradi huu utaanza kutekelezwa kwa awamu na hauta simama. Matarajio ni kwamba mradi ukamilke mapema iwezekanavyo na ukabithiwe serikalini mapema2026.