Tujikumbushe: Ujenzi wa Daraja la Jangwani kuanza Desemba 2022

Huwa sipendi maneno mengi

View attachment 2812630
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa serikali ikiwa ni pamoja na fedha na mabadiliko ya vipaumbele, utekelezaji wa mradi huu mkubwa na muhimu kwa uchumi na wakaazi wa jiji la dar es salaam, utaanza kutekelezwa mwaka ujao wa fedha.

Tayari EU, WB, ADB, serikali na wadau wengine wa maendeleo wamekubali kufadhili mradi muhimu. Na kwa wakati muafaka mradi huu utaanza kutekelezwa kwa awamu na hauta simama. Matarajio ni kwamba mradi ukamilke mapema iwezekanavyo na ukabithiwe serikalini mapema2026.
 
Au VITA vya Ukraine na Russia viliathiri pia hizi mambo
 
Ukiweka uni tag niipitie

Ova
Mkuu tayari nimeipata post yenyewe...niliyoiweka hapa JF tarehe 17/07/2018

====

Ninadhani hawa wanaowekeza kwenye magari ya usafirishaji, visima vya mafuta nakadhalika wangemega kidogo wakawekeza kwenye project hii kwa kushirikiana na serikali wangepiga hela sana.
 
Au VITA vya Ukraine na Russia viliathiri pia hizi mambo
Mh.speaker napenda kujibu swali dogo la nyongeza la mh.@"Elli, kama ifuatavyo.
Vita vya Ukraine na Rassia havina uhusiano wowote wa mojakwamoja na kuchelewa kwa utekelezaji wa mradi huu muhimu. Serikali bado ina nia dhabiti ya kutekeleza mradi huu muhimu mapema kulingana na upatikanaji wa fedha, ambazo kama nilivyoeleza kwenye jibu langu la Msingi EU, WB, ADB ziko tayari kufadhili mradi huu, na tunatarajia mradi ukabithiwe serikalini mapema 2026.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…