Tujikumbushe ujio wa Papa John Paul II nchini Tanzania mwaka 1990

Tujikumbushe ujio wa Papa John Paul II nchini Tanzania mwaka 1990

22 April 2022
Tosamaganga, Iringa
Tanzania

Tosamaganga Hospital Documentary Film


Hosptali Teule ya Tosamaganga ni miongoni mwa Hospitali kongwe Nchini Tanzania, ilianzishwa Mwaka mnamo Mwaka 1970, Hospitali hii inajivunia miaka 50 ya utoaji huduma bora kwa wakazi wa Mkoa wa Iringa na Nje ya Mkoa pia, hapo awali chini ya Wamisionari wa Consolata kilianza kwa kutoa huduma za afya na hapo ukawa mwanzo wa kujengwa Hosptali hii hapa Ipamba. Upekee wa Hospitali ya Ipamba ni Uinjilisha kupitia tiba, ni Hoptali inayomilikiwa na kanisa Katoliki ambapo miongoni mwa Tunu za kanisa hilo ni kutoa huduma kwa jamii na kupitia Hospitai hii ya Tosamaganga kwa huduma zake nzuri watu wengi wanapona na wengine wanapata nafuu. Sifa nyingine ya Hosptali hii ni utoaji wa wa huduma bora bila mipaka wala ubaguzi wa dini lakini pia imetoa ajira kwa watumishi wengi. Miongoni mwa changamoto ni kutokuwa na chuo cha kuzalisha wahudumu jambo linalopelekea kupata wakati mwingine kuapata wahudumu wanye taaluma lakini wasio na wito. Kwa sasa mpango mkakati wa Hosptali hii kongwe ya Tosamaganga, ni kuwa na Hospitali ya Rufaa ili kuweza kutoa huduma bingwa, matarajio yalipo ni kufungua kitengo cha kusafisha damu, na tayari Daktari bingwa wa mifupa amepatikana , lakini pia kuongeza ubora katika vitengo vyote na kuimarisha huduma zenye viwango vya juu sambamba na machine za kisasa ikiwemo MRI.

Source : Kenosis TV
 
Nilikuwepo uwanja wa Memorial(Wenyeji wakiuita Maimoria) pale Moshi wakati Pope akihutubia wakzi wa Mji ule na vitongoji vyake

Ilikua ni kama ziara ya Kiserikali na maandalizi ya ujio wake yalianza miezi kadhaa kabda hajaja na yalishirikisha watu wengi serikalini, sekta binafsi na madhehebu mbalimbali ya dini
Hongera ndugu Mlei
 
Courtesy of CTV and Jugo Media

01 September 1990
Dar es Salaam, Tanzania

Ziara ya Papa Yohane Paulo II alipofanya ziara mwaka 1990 na kupokewa na Mh. Rais Ali Hassan Mwinyi.



Mh. Rais Ali H. Mwinyi akimkaribisha Papa Yohane Paulo II (Pope John Paul II) alisema ni heshima kubwa na taadhima kwa kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki Dunia kuitembelea Tanzania.

Mbali na mheshimiwa rais Ali Hassan Mwinyi pia alikuwapo Rais wa Zanzibar Mh. Idris Abdul Wakil Kwanini Idris Abdul Wakil alikuwa Rais wa muhula mmoja? Cardinal Laurean Rugambwa wa Tanzania kadinali wa kwanza muafrika Afrika Laurean Cardinal Rugambwa [Catholic-Hierarchy] , spika wa Bunge chifu Adam Sapi Mkwawa, Benjamin W. Mkapa akiongozana na Anna Mkapa, Brigedia Moses Nnauye, Getrude Mongella na maaskofu mbalimbali na wananchi wa Tanzania uwanja wa ndege wa Dar es Salaam.

Papa Yohane Paulo II (Pope John Paul II) aliandika historia kuwa kiongozi wa kanisa la Katoliki asiye mtaliano baada ya miaka 400 kupita hapo 1978. Papa Yohane Paulo mzaliwa wa Poland alihudumu mpaka mwaka 2005.

Alizaliwa na kubatizwa jina la Karol Józef Wojtyla hapo mwezi Mei tarehe 18, 1920, katika kijiji cha Wadowice, Poland

Alijiunga na chuo kikuu Jagiellonian University kilichopo Krakow mwaka 1938 alipoonesha kupendelea digrii ya sanaa ya maonesho na ushairi.

Akiwa jijini Dar es Salaam alihudhuria misa katika kanisa la St. Joseph cathedral na kutoa salamu.

Source: Jugo Media

Na huu ndio mwaka aliofunguliwa mandera na kuitembelea Tanzania.
 
A- Z ya historia ya kadinali mteule Askofu Protase Rugambwa

 
Nilikuwepo uwanja wa Memorial(Wenyeji wakiuita Maimoria) pale Moshi wakati Pope akihutubia wakzi wa Mji ule na vitongoji vyake

Ilikua ni kama ziara ya Kiserikali na maandalizi ya ujio wake yalianza miezi kadhaa kabda hajaja na yalishirikisha watu wengi serikalini, sekta binafsi na madhehebu mbalimbali ya dini
Hata mimi nilikuwepo siku hiyo nikiwa Mwanafunzi wa Sekondari, tulipanda gari ya shule (Trucker) saa 12 asubuhi tulisafiri umbali wa km 100 hadi kufika Moshi. Watu walifurika sana siku hiyo kwenye Uwanja wa Memorial.
 
Good, Mimi nilitumikia misa HIYO nikiwa mfupi line ya mbele kabisa nikiwa std II kipindi hapo Jimbo kuu la The King Cathedral old is gold, always God is good wenzangu tuliokuwa watumishi wapo sehemu mbalimbali duniani wakieneza injili wakiwa mapadre.
Dah umenipa simanzi sana mkuu.
Hongera kwa wale wote waliokuja kuwa mapadre
 
Back
Top Bottom