Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,240
- 5,625
Habari za Jioni Wakubwa
Leo nimekumbuka nilivyokuwa advanced level...nilisoma tahasusi ya EGM lakini niliongeza somo la history kama back up
Yaani kiufupi nilisoma HEGM nikiwa na lengo la kuitumia tahasusi mojawapo kufanyia mtihani either HGE au EGM
Tukiachana na hilo...Leo nataka nichangamshe ubongo kwahiyo kama una swali lolote lile la History,Geography,Economics na Advanced Maths...Nina Imani itawasaidia madogo kupata maarifa mbalimbali ambayo huwezi kuyapata sehemu nyingine
Nakumbuka enzi zile pale mchikichini kulikuwa na Mwalimu mmoja anaitwa Logman alikuwa na njia zake za jinsi ya kusolve maswali ya application za differentiatiation sijui alizitoa wapi mi sikuwahi kuziona sehemu yoyote wala kwa mwalimu yeyote yule na yeye alikiri kuwa huwezi kuzipata popote pale
Enewei Shusheni maswali tujichangamshe wanafunzi,walimu,viongozi karibuni