zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
kati ya viatu ambvyo nilivifurahia ni Saa Nane utanikoma na Soksi za Punda milia,kwa wale wa siku mingi hapa wata taja Laisoni,pekosi na model suruali,na Music yao ya pumping...du...
Tupia wewe ulipenda sample ipi hapo...
Da, chachacha afu kulikuwa na loso kwa kina dada
Hahahahahahahahahahahahahah
umenikumbusha mbali sana na kumbuka nilikuwa natinga loso na soksi za pundamilia, sasa nikija kurudi home soksi zimejaa vumbi na mimba mimba kama si majani.
Yan hapa nilikuwa nikirudi ni kuangaika kutoa miba au majani kwenye soksi zilikuwa zina nikera sana,alaf azichelewi kutanuka juu.
umoja tulinunuliwa nyumba nzima ni kandambili zilizo kuwa ngumu sana za sasa fake!unakumbuka kandambili, kulikuwa na umoja, skyway
me nlinunuliwa skuna! hata loso afu ukienda skuli na loso unaonekana mjanja
hahahahahahahahahahahahahahKama jagi la Chibuku.
umoja tulinunuliwa nyumba nzima ni kandambili zilizo kuwa ngumu sana za sasa fake!
Hahahahahahahahahahahahahah
umenikumbusha mbali sana na kumbuka nilikuwa natinga loso na soksi za pundamilia, sasa nikija kurudi home soksi zimejaa vumbi na mimba mimba kama si majani.
Yan hapa nilikuwa nikirudi ni kuangaika kutoa miba au majani kwenye soksi zilikuwa zina nikera sana,alaf azichelewi kutanuka juu.
unakumbuka kandambili, kulikuwa na umoja, skyway
Hahahahahahahahahahahahahah
umenikumbusha mbali sana na kumbuka nilikuwa natinga loso na soksi za pundamilia, sasa nikija kurudi home soksi zimejaa vumbi na mimba mimba kama si majani.
Yan hapa nilikuwa nikirudi ni kuangaika kutoa miba au majani kwenye soksi zilikuwa zina nikera sana,alaf azichelewi kutanuka juu.
hahahahahahahahahahahahahah
ukitembea ni kushuka tu we unafanya kazi ya kupandisha.
Zilikuwa zinalewa sana Vumbi...gafla zimeachana
mbona unaniwahi kila kitu,eeeh matairi aka katambuga af fashion yake inarudi kwa kasi
J3 shule umepga utanikoma,punda milia ameng'aa una kamua Mungu ibariki..kazi ilikuwa kwenye kufua mikono hadi inakufa ganzi. Zilikuwa ngumu kutakata hasa zikutane na udongo mwekundu.
mh, mimba mimba ndo nini mkuu?
sorry i mean miba, typing mistakesmh, mimba mimba ndo nini mkuu?