Tujikumbushe vituko,ugomvi na mikasa mbalimbali tuliyokumbana nayo wakati tunasoma.

Tujikumbushe vituko,ugomvi na mikasa mbalimbali tuliyokumbana nayo wakati tunasoma.

Ma-monitress walijiona wamepatia sana maisha...full kujiona deputy walimu.

Ila niliwagonga sana kupata favours ndogo ndogo
Aiseee
Mimi nakumbuka sikuutaka kabisaa, siku nachaguliwa nililia kipindi kizima cha yule mwalimu! Akanichapa fimbo za kutosha pale darasani, baada ya kipindi akanipeleka ofisini akaniongezea tena viboko!
 
Back
Top Bottom