Wakina Boating wa Germany na waganaWengi mnooo mkuu, sijui huyu rui costa na victor costa nyumba nao ni ndugu!!!
Diego milito, gabriel milito
Kolo toure, yaya toure
Kasper, peter schemeichel
Brian na michael laudrup
Jordi na johan Cruyff
Kina pogba
Justin na patrick kluivert
Simeone na paul inzaghi
Adur na edu gudjohsen
Frankie na ronald de boer
Zidane na enzo zidane
Paul na cesare maldini
Etc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana kaka yao pia anaitwa Saad Samatta na yeye alikipiga polisi Dodoma enzi hizo aiwa na wakina ChujiAnaitwa Mohammed sammata now yupo KMC
Ni kweli. Na kwakuwa kote nimeshafika, hapatofautiani sana.😀😀😀Ni Ubelgiji Mkuu. Naona umechanganya pengine kwa kuwa ni majirani!
Huyu jamaa bado yuko dodoma ila anaonekana kama ni mgonjwa na mpira hachezi tenaWana kaka yao pia anaitwa Saad Samatta na yeye alikipiga polisi Dodoma enzi hizo aiwa na wakina Chuji
Nilikuw na sifa hasa watoto wa kihindi wakiwa ghorofaniUkipita kiwanja ngoma leo hii chozi laweza kukutoka hakuna tena ile burudani kile kizazi cha 1992 ..1994 inaelekea kiliishia pale pale tumebakiwa na vijana mashabiki wa magazeti ya udaku tu na story za shigongo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ndugu ni majina tu yamefananaAshley Cole , Jay Cole
Muhiddin Siso na Mwamini Siso.Sunday Manara na Kitwana Manara na Kassim Manara, Peter Tino, Emma Peter , Gebo Peter, Abassi Dilunga, Maulid Dilunga, Haidary Abeid na Khalid Abeid, Issa Athumani Na Kassongo Athuman , Madaraka Selemani na Iddi Selemani nk
Hii ndio familia kubwa zaidi ya wanasoka Tanzania na labda duniani.Musa Kihwelo
Jamhuri Kihwelo Julio
Mhesa Kihwelo
Mhehe Kihwelo
Mwanamtwa Kihwelo