Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

Chukueni hii, Hawa hapa TONI KROOS(yupo real madrid ya ligi kuu spain) na mdogo wake wa damu FELIX KROOS(yupo Union-Berlin ya ligi kuu ujerumani)


B109YQlCMAETxUm.jpg

d63fb48a9baa9be65af6989c52e12a68_crop_exact.jpg

felix kroos akiwa kwenye ubora wake alipokuwa werder bremen dhidi ya fundi Modric alivyokuwa spurs.

349249137c691a1a8e9bcc46be714dee_crop_north.jpg

BtKJdKeIQAATv6m.jpg

BmOPRxAIEAAkbIB.jpg
 
Mbwana Samatta, Mohamed Samatta, James Msuva, Simon Msuva.
 
Popescu na Popescu- Romania

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom