Mwakifulefule Atufigwege
Member
- Dec 5, 2019
- 78
- 71
Naam mwamba huo ulinyanyua kwapa mwaka huo palikuwa na mtu mwingine wa kuitwa Zinho basi watu wakawa wanawaita Sudi na masudi (Zinho na Mazinho )Baba yao akiitwa Mazinho; alichukua Kombe la Dunia 1994 na Brazil.
The ManarasHii ndio familia kubwa zaidi ya wanasoka Tanzania na labda duniani.
Vv
Jay Jay Okocha ni mjomba wa Alex Iwobi. Mama yake Iwobi ni dada yake Jay Jay Okocha.Jay Jay okocha and Alex iwobi
Pale Newcastle kuna ndugu wawili wanitwa LongstaffJay Jay Okocha ni mjomba wa Alex Iwobi. Mama yake Iwobi ni dada yake Jay Jay Okocha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni masangoma wa ukweli wanapiga nyanga mwanzo mwishoSalum na swedi sijui waliishia wap carrier ya bongo shida sana sijui wanakwama wap vijana wetu
Tony KroosChukueni hii, Hawa hapa TONI KROOS(yupo real madrid ya ligi kuu spain) na mdogo wake wa damu FELIX KROOS(yupo Union-Berlin ya ligi kuu ujerumani)
View attachment 1317833
View attachment 1317834
felix kroos akiwa kwenye ubora wake alipokuwa werder bremen dhidi ya fundi Modric alivyokuwa spurs.
View attachment 1317835
View attachment 1317836
View attachment 1317837
Ken Ruga na Jones Ruga nasisi tulikubaliana cheza timu ya shule ya msingi Kabare huko MulebaTony Kroos