May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Hahaha...sawa Mkuu.Sina hakika, niulize mambo ya zamani, siku hizi mpira naangalia kwenye TV tu, zamani nilikuwa naenda kuruka ukuta Uwanja wa Taifa wa zamani, unadondosha noti ya shilingi 10 halafu polisi anaruhusu uruke ukuta [emoji1787][emoji23]
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app