Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

Soka la Kiwanja Ngoma alikuwepo Masoksi na kaka yake Tiba Abdallah wakichezea Volcano ya Ghana.
Ukipita kiwanja ngoma leo hii chozi laweza kukutoka hakuna tena ile burudani kile kizazi cha 1992 ..1994 inaelekea kiliishia pale pale tumebakiwa na vijana mashabiki wa magazeti ya udaku tu na story za shigongo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ibrahim Magongo na Athuman Magongo, Pamba ya Mwanza. Victor Mkanwa na Henry Mkanwa, African Sports, Omar Mahadhi bin Jabri, Simba, Waziri Mahadhi, Yanga.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Abbas magongo akiichezea gor mahia kwa mafanikio waqt ule mpaka mtangazaji mkenya anasema (hii magongo nasaliwa mpakani tu ya tansania
 
Luca Zidane na Zinedine Zidane.

Luca ameanza golini katika mchezo wa Ligi Kuu ya Spain, kati ya Madrid Vs Huesca, leo tarehe 31 march 2019.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…