Tujikumbushe wachezaji waliotamba AFCON miaka ya nyuma

Tujikumbushe wachezaji waliotamba AFCON miaka ya nyuma

Watu wamepita stiven keshi waqt yupo ubelgiji alikuwa anakaa ghetto na washkaji kibao nae ndio siri ya mafanikio ya wachezaji wengi wa nigeria na ghana wa waqt huo mmoja wao ni Nii ordatey lamptey ghana chama cha soka kilimletea figisu figisu akatokea nigeria kwa msaada wa keshi akakwea pipa na kwenda ugelgiji
Lamptey halufanikiwa chochote,wakala wake alimzulumu na hata mkewe alamzalia watoto wa nje ya ndoa watatu,DNA ilitoboa Siri hii.
 
Lamptey halufanikiwa chochote,wakala wake alimzulumu na hata mkewe alamzalia watoto wa nje ya ndoa watatu,DNA ilitoboa Siri hii.
Lamptey alikuwa kipaji sana, ila wakala na wazazi hawakumpa sapoti alipokuwa mdogo na shule zero kabisa, hakujua hata kusoma wala kuandika.
 
Kuna akina Kofi Gyamfi, Mahamoud Al Gohari, Ibrahim Sunday, Robert Mensah aliyekuwa akidaka goli huku akisoma gazeti kwa kejeli.

Ndaye Mulamba, Kazadi Best, Mamadou Keita N'joleya, Ahmed Faras, George Alhassan, Emmanuel Quachie, Rogger Milla nk nk.
 
Back
Top Bottom