Tujikumbushe wapenda kusingizia kuumwa na watoro shuleni

Ambao wazazi madaktari dispensari ipo home... no excuses for classes labda hali ya hewa..
 
Walaa. Ofisini mbona wala sio mnoko sema ukifanya kama inavyotakiwa wala sina shida na mtu. Ila O level nilikuaga kiongozi watu walikua hawanipendi hatari eti nilikua mnoko [emoji23][emoji23]
Unaona sasa hapo kwenye ukifanya kama inavyotakiwa ndo unoko huo sasa.. mfano mimi kila siku nipo chini ya mstari mwekundu, halaf kila baada ya week 2 nna sicksheet ...we unavyoonekana mzigua lazima uniletee unoko lazima utakua unawashwawashwa
 
Safi sana aisee
 
Unaona sasa hapo kwenye ukifanya kama inavyotakiwa ndo unoko huo sasa.. mfano mimi kila siku nipo chini ya mstari mwekundu, halaf kila baada ya week 2 nna sicksheet ...we unavyoonekana mzigua lazima uniletee unoko lazima utakua unawashwawashwa
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mm form 3 boarding nilikua nikijisikia kwenda home siku nikiamka macho mekundu sivai uniform naenda dispensary nakomaa na nesi mpka ananihurumia kweli ananipa pernit niende home kutibiwa..[emoji2][emoji2]


Na nakumbuka niko form one nilikua na bro angu wa form two sasa ile sie tunafinga terminal form two wanabaki jamaa alihakikisha twobdays before mm kuja kuchukuliwa aumwe.. alicheza mpira mpka akajikwaa [emoji23][emoji23].. then akaandika barua kwa mom siku nikiijiwa for holiday nimfikishie .. mom akasoma akasema jamà anaumwa kweli tukamuita.. anavotembea sasa.. Daah ikabidivaombewe ruhusa kwenda home tu.. Balaa likaanza tunefika town bro anatembea vizuriii kama sio yeye aliekua ananyata shule mom akaanza kushangaa mbna anatembea tofauti na shule.. Kweli kusoma kipaji jaman..[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…