Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Watu walikuwa wanatunga sana zamani.. Ila Latifah na Ina maana ndo zinanishika sanaJamaa nina mmind mpaka leo.
Nikiukumbuka huu wimbo na ule wa "Ina maana" roho inaniuma sana maana ndio nakumbuka enzi hizo naruka geti kwenda disco na mimba juu nikaambulia.Jamaa nina mmind mpaka leo.
Na wimbo wake wa binti skendo.Kigwema
Kama una ii audio ntumie aisee..."sina demu, kama unavyoniona mpenzi, ndo mana nimekuchagua we ukidhi yangu mahitaji.....sio kwamba mi staki demu, ila sijamwona mwenye sifa, uzuri alionao kama wewe malaika wangu"
By B-boy.
Mziki ulikuwa zamani
O tenNa wimbo wake wa binti skendo.
Hivi sifa 10 za demu aliimbaga nani?
Sina ila hulkshare ukienda unaipata yote ya longKama una ii audio ntumie aisee...
Asante.O ten
Bila shaka wewe ni wa kike!MB Doggy, 20% na Marlow ndo wananiuma roho...
Ile ngoma ya Latifah na Ina maana enzi hiyo nipo form two.. Yaani zilikuwa enzi hiyo nakariri mida ya saa nne usiku jirani yangu muuza duka anaifungulia mpaka naacha kusoma.. Daaah