Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
MB Doggy, 20% na Marlow ndo wananiuma roho...
Ile ngoma ya Latifah na Ina maana enzi hiyo nipo form two.. Yaani zilikuwa enzi hiyo nakariri mida ya saa nne usiku jirani yangu muuza duka anaifungulia mpaka naacha kusoma.. Daaah