Tujikumbushe watangazaji maarufu Radio one enzi hizo

Pia miaka ya 97 na 98 alikuwepo Neema Diwani.
 
Ahsante kwa kutukumbusha,yes kwangu JULIUS NYAISANGA(RIP),na for more young mens wakati wa RTD Mnamkumbuka ABDUL MASUDI?,taarifa ya habari akisoma hupendi imalizike,kipindi cha michezo kilikuwa chart ya juu bcs of him.kweli kwa sasa ni mihemko tuu.
 
Hehehe mi masoud masoud ile sauti yake daaah jamaa sijui kama kameza kijiko hahah hatari .
 
Kuna ile jingle yao walikuwa wanawataja watangaziaji wao niliipenda sana...

Rose Chitalaa.... Atiche babujii... Sijui nimepatia
 
Pis K,
 
Masoud masoud manju wa muziki miaka 1000000 Hakuna kama yy kwenye skill ya hali ya juu ya muziki........
 
Umenikumbusha mbali mkuu kipindi hiko nikiwa home kibosho! Wapi mama wa sauti Regina Mwalekwa nilikuwa sikosi taarifa habari Dada amejaaliwa Sauti.
 
Janet yuko wap??
 

Hemed Kivuyo ana tatizo moja kubwa pia!..si mfuatiliaji wa mambo yanayoendelea..hayupo updated na on going issues mweupe sana kichwani..anadhani kujua tu nahau na semi ndio kamaliza..i think kuna watu wanamdanganya kwamba anajua naye anaamini hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…