Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Mnamkumbuka Sara Dumba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MajiraMnamkumbuka Sara Dumba?
Marehemu, kama sijakoseaMnamkumbuka Sara Dumba?
Amefariki mwaka jana nadhani...mara ya mwisho alikuwa DC wa KiloloMarehemu, kama sijakosea
we jamaa kiboko sanaMchezo wa mzee Jangala ikidhaminiwa na pombe aina ya chibuku, nakumbuka nyimbo, idara yetu ya uhamiaji nalo jukumu kubwa saanaaaa kuwakaribishaa kuwasafirishaa na kulinda mipaka yetu[emoji441][emoji443][emoji443][emoji445][emoji445]
Watoto wasafi moyonii ni nyoota za macho ya wazaziiiiii[emoji445][emoji445][emoji445][emoji443][emoji443][emoji441]
Shamba aaanii shambaani shambaani mazaoo boora shambaani, haya twendenii shaambanii wananchi tukaalimeee [emoji443] [emoji444] [emoji446] [emoji447]
Wanawakee wa Tanzania wazuuuriii saaaanaaa, wanawakeeee tanzaniaa maendeleo tanzaniaaaa[emoji445][emoji443][emoji441][emoji443][emoji445]
Kuleni chakula boora cha kuujenga muili naku.... Pa kulala pawe boraa[emoji443][emoji445][emoji441]
Wakati umewadia wa salam za wagonjwa hosipitalinii leo tunawapa poleee, ajuaye bwana Mungu kwa mfu kuwa mzima mgonjwa kuwa salamaa leo tunawapa polee[emoji445][emoji445][emoji443][emoji445][emoji445][emoji441]
Wananchiiiii tujifunzeni ushirikaaaaa wananchi tujifunzeni ushirikaaaaa [emoji441][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Jamani vitaa imetangazwaa jamaaa wananchi wote tuwe imara, vijijini na mjini msisite kuwasema walanguzi[emoji445][emoji445][emoji445]
Matangazo sasa
1. Tumaa vifurushiii barua na pesa vitu mbalimbali vifike harakaaa tena kwa uhakikaaa, itumie sasaa shirika la posta na simu tanzaaaaniaaa ndio tegemeo letuu.
2. Hebu jitokezeee jioneshe simamaa mbelee za watuuu
3. Tairi general kutoka arushaaa tanzaaaaniaaa
4. Revolaaa revolaaaaa revolaaaaaa revolaaaaaaaa
5. Wee acha kula mali ya umma wee acha kujitafuna tafuna weeeee, wachaaaaaaaaa
6. Tumia chibuku ndio pombe bora, radha ya chibuku hujulikana, sifa moja na nyinginezo ni kulinda hadhi ya mnywaji
7. Komoooooaaaaa aaa komooooaaaa komoaaaa
8. Benki ya akiba ya posta ndio yako, benki ya akiba ya posta ni kwa watanzaniaaa woooote wakubwa kwa wadogo... Wananchi unaweza kufungua akaunti ya kawaaida, akaunti ya muda na akaunti ya muda maaalum.. Usingoje kesho ooo fungua akaunti yako leooo
Watangazaji hahaha Mama Deborah, Dominic Chilambo
Nimejikuta napata sweet memories tu
Haaaa we noma mshkajiMchezo wa mzee Jangala ikidhaminiwa na pombe aina ya chibuku, nakumbuka nyimbo, idara yetu ya uhamiaji nalo jukumu kubwa saanaaaa kuwakaribishaa kuwasafirishaa na kulinda mipaka yetu[emoji441][emoji443][emoji443][emoji445][emoji445]
Watoto wasafi moyonii ni nyoota za macho ya wazaziiiiii[emoji445][emoji445][emoji445][emoji443][emoji443][emoji441]
Shamba aaanii shambaani shambaani mazaoo boora shambaani, haya twendenii shaambanii wananchi tukaalimeee [emoji443] [emoji444] [emoji446] [emoji447]
Wanawakee wa Tanzania wazuuuriii saaaanaaa, wanawakeeee tanzaniaa maendeleo tanzaniaaaa[emoji445][emoji443][emoji441][emoji443][emoji445]
Kuleni chakula boora cha kuujenga muili naku.... Pa kulala pawe boraa[emoji443][emoji445][emoji441]
Wakati umewadia wa salam za wagonjwa hosipitalinii leo tunawapa poleee, ajuaye bwana Mungu kwa mfu kuwa mzima mgonjwa kuwa salamaa leo tunawapa polee[emoji445][emoji445][emoji443][emoji445][emoji445][emoji441]
Wananchiiiii tujifunzeni ushirikaaaaa wananchi tujifunzeni ushirikaaaaa [emoji441][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Jamani vitaa imetangazwaa jamaaa wananchi wote tuwe imara, vijijini na mjini msisite kuwasema walanguzi[emoji445][emoji445][emoji445]
Matangazo sasa
1. Tumaa vifurushiii barua na pesa vitu mbalimbali vifike harakaaa tena kwa uhakikaaa, itumie sasaa shirika la posta na simu tanzaaaaniaaa ndio tegemeo letuu.
2. Hebu jitokezeee jioneshe simamaa mbelee za watuuu
3. Tairi general kutoka arushaaa tanzaaaaniaaa
4. Revolaaa revolaaaaa revolaaaaaa revolaaaaaaaa
5. Wee acha kula mali ya umma wee acha kujitafuna tafuna weeeee, wachaaaaaaaaa
6. Tumia chibuku ndio pombe bora, radha ya chibuku hujulikana, sifa moja na nyinginezo ni kulinda hadhi ya mnywaji
7. Komoooooaaaaa aaa komooooaaaa komoaaaa
8. Benki ya akiba ya posta ndio yako, benki ya akiba ya posta ni kwa watanzaniaaa woooote wakubwa kwa wadogo... Wananchi unaweza kufungua akaunti ya kawaaida, akaunti ya muda na akaunti ya muda maaalum.. Usingoje kesho ooo fungua akaunti yako leooo
Watangazaji hahaha Mama Deborah, Dominic Chilambo
Nimejikuta napata sweet memories tu
Yaani hadi nimejizuia kidogo chozi linitoke maana nimepata kumbukumbu nzuri enzi hizooooooHaaaa we noma mshkaji
Kwakweli,tena kulikuwa na hadithi za mama na mwana nakumbuka na kipindi cha watoto. Duuuh long time kitambo!Yaani hadi nimejizuia kidogo chozi linitoke maana nimepata kumbukumbu nzuri enzi hizoooooo
Siku hizi redio zimekuwa fujo tupu vipindi vyafanana na hujui usikilize redio ipi ilimradi tu tafran,na redio nyingi wanahusudu mizikiNimefarijika sana ninapoona wazee wenzangu mkijadili mambo!! Back in the days...kipindi ambapo hata Radio ilikuwa anasa.
na miziki yenyewe haina maadili!!Siku hizi redio zimekuwa fujo tupu vipindi vyafanana na hujui usikilize redio ipi ilimradi tu tafran,na redio nyingi wanahusudu miziki
Kabisa ndg yangu mara yafungiwa mara hivi mara vilena miziki yenyewe haina maadili!!
Yaani wewe ni hatari wallah si kwa kumbukumbu hizo mungu akujalieSiwezi kusahau jioni ile ya tarehe 12 April ya mwaka 1984, Mwalimu Nyerere kupitia RTD alipotutangazia msiba wa mpendwa wetu Edward Sokoine!! Siwezi sahau...
Ile jingle ya majira nilikuwa naipenda sanaMaajira
Mazungumzo baada ya habari
Ohhh old dayz
Upo sahihi kutokwa na machozi, maana unakumbuka mambo mengi, una hisi kuna kitu kinapungua vile, lakini unajikuta hauna jinsi.Yaani hadi nimejizuia kidogo chozi linitoke maana nimepata kumbukumbu nzuri enzi hizoooooo