Nakumbuka enzi hizo, mwanzoni mwa miaka ya 2000, kulikuwa na watangazaji na vipindi maarufu vilivyopeta kipindi hicho.
MISANYA BINGI WA REDIO ONE- Enzi zile alikuwa na kipindi chake cha chemsha bongo, ilikuwa burudani sana.
MARTHA NGWILA WA REDIO Tanzania, huyu alivuma sana na style yake ya kuripoti hasa kipindi cha harakati.
FRED WAA AKIWA REDIO FREE- Kipindi cha je huu no ungwana na vodacom burudani zaidi sindano tano za moto, hatari sana.
SEKION DAVID AKIWA EATV- enzi zile na kipindi cha city sounds
BETTY MKWASA AKIWA ITV-Alikuwa anatangaza habari.
RUKIA MTINGWA AKIWA ITV-AKITANGAZA HABARI.
PRINCE BAINA KAMUKULU.
FREDRICK BUNDALA- RADIO FREE KIPINDI CHA SITASAHAU
RAHABU FREDY- Kipindi cha search line, radio free.
ROSE CHITALA- Radio one, chombeza time.
GABRIEL ZAKARIA- Akiwa radio free, kipindi cha usiku.
JULIUS NYAISANGA- Akiwa ITV akisoma habari.
MOSES JUSTINE- Radio one, kipindi cha mtaa w mangoma.
RAINFRED MASAKO- ITV akitangaza matukio ya wiki.
SAMADA HASAN MADUHU- Star TV akitangaza kipindi cha anga za kimataifa.
JUMA AHMED BARAGHAZA- REDIO free, kipindi cha Bangua bongo.
Sent using
Jamii Forums mobile app