Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Rankim Ramadhani: buzuki time
Marehemu huyu jamaa. Ila nakumbuka alikuwa mbaya sana wa kufanya mixing yaani beat ya wimbo mmoja anatumia mashairi ya wimbo mwingine . Nakumbuka ndani ya Radio One Dj Show. Mpaka sasa hakuna anayekaribia matawi yale. Hakuna.
 
Kuna mwamba alikua anaitwa Frank Mtao alikuwa na kipindi cha nani ninani pale Channel Ten
 
TUMBO RISASI.
 
Kuna mtu kaomba link ya huu uzi wa miaka kumi iliyopita,nimeamua kuufufua upya,Rip all.
 

JACOB tesha
 
Sijui kama TBC wametunza kumbukumbu za mahojiano yao yote. Ningali mtoto mdogo wa sekondari niliwahi kuohojiwa na Sarah Dumba katika kipindi chake kimojawapo. Ningependa nipate kopi ya mahojiano yale; ilikuwa ni mwaka 1980. Niliporudi kijijini wakati wa likizo kila mtu alikuwa akinipa pongezi kuwa "tulikusikia unaongea redioni"
 
Vipi unamkumbuka Leonard Mtawa; nilikutana naye mara ya mwisho mwaka 1989 au 1990 hivi pale Sinza. Nilifahamiana na Mtawa tangu utotoni
 
Abdalah mlawa yuko pale buguruni anaishi maeneo hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamkumbuka Ngalimecha Ngahyoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…