Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Kipindi cha Lugha Ya Kiswahili nilipenda sana wimbo(jingle) yake
"Tanzania Bara na Visiwani....ya Taifa hili lugha...." Nimesahau unavyoendelea.

Pia kipindi cha rushwa. Wimbo wake
"Wito nautoa kwa taifa zima, tuchukie rushwa kwani ni adui...."

Pia Mahoka na Pwagu na Pwaguzi.

Mchezo Wa redio nilikuwa nampenda mwigizaji mmoja akiitwa Matuga.
.
Aisee nimeu_google huo wimbo ndio ukanileta huku.
 
Mzee Balantanda, unakumbukumbu wewe,
Nitakupa UP Date ya baadhi yao walipo..

1.Omar Jongo-R.I.P

2.Barnabas Mluge-Retired

3.Idrissa Sadallah-R.I.P

4.Yusuph Omar Chunda(STZ)-TVZ

5.Abisai Steven-Retired

6.Peter Makorongo-TBC Lindi

7.Angalieni Mpendu-Retired

8.Titus Philipo-TBC-Tabora

9.Bakari Msulwa-TBC-Mwanza

10.Michael Katembo-R.I.P

11.Nazir Mayoka-R.I.P

12.Abdul Ngalawa-Retired

13.Mohammed Kisengo-Radio One

14.Abdallah Mlawa-Retired

15.Hendrick Michael Libuda

16.Abdallah Idrissa Majura-BBC

17.Mikidadi Mahmoud-Mkurugenzi Radio Uhuru

18.Rosemary Mkangara- Anaishi Gongo la Mboto, ameachana na Utangazaji.

19.Wilson Malosha

20.Damian Msangya

21.Nswima Ernest

22.Nathan Rwehabura
-Msaani Afrika-Mhariri Mkuu

Watangazaji weingine RIP ni

Abdul Masudi,
Siwatu Luanda
Salama Mfamao
Michae Katembo
Juma Ngodae,
Seif Mkamba
Nelly Kedela
Rejea
Mwandishi ni Mtangazaji wa zamani wa External Service ya RTD.
Mabandiko mengine ya mwandishi kuhusu Watangazaji wa iliyokuwa RTD
 
Chama Omari Matata.
Namkumbuka kaka yake Othmam Omari Matata alikuwa mtangazaji wa English news External Service ya RTD, yeye, Swalehe Msuya na Sauda Simba Kilumanga.
Tulikuwa tunakutana pale Chef Pride ya Lumumba karibu na mitaa yenu.
RIP Othman Matata.
P
 
I’m very out of touch on this…

Hivi external service bado ipo?
No haipo, ilianzishwa to support ukombozi Kusini mwa Africa, baada ya nchi zote kukombolewa the funding stopped, hivyo ikafungwa kwa sasa TBC wana English Service inayoitwa TBC International ila sijui kama inasikilizwa maana hata mimi mwenyewe born and breed TBC, sijawahi kusikiliza TBC International!.

Sikuwahi kujua hili la external servise na ukombozi wa nchi za africa kusini
 
Enzi za External service uliwahi kuisikiliza?
P
Yah niliwahi kusikiliza. Nakumbuka matangazo yake yalikuwa yanaanza saa sita mchana hadi saa nne usiku
Frequrncy za AM 1530mhz if my memory serves me right, enzi hizo hakuna Fm stations kwa mikoa ya kusini kulikuwa na channel africa ikitangaza kupitia Short wave frequencies.
 
Kumbe wewe ni wa longi!, hivyo kama ulikuwa unasikiliza lazima pia utakuwa umesikia vipindi ni vya lugha gani na kwa ajili ya watu gani!.
P
 
No haipo, ilianzishwa to support ukombozi Kusini mwa Africa, baada ya nchi zote kukombolewa the funding stopped, hivyo ikafungwa kwa sasa TBC wana English Service inayoitwa TBC International ila sijui kama inasikilizwa maana hata mimi mwenyewe born and breed TBC, sijawahi kusikiliza TBC International!.
P
TBC International ipo nilikuwa naisikiliza sana. Wanapiga nyimbo za Kiingereza tu nzuri sana na wanaongea english tu.

Last time nasikiliza mpaka watu wanapiga simu kabisa na kutuma message
 
TBC International ipo nilikuwa naisikiliza sana. Wanapiga nyimbo za Kiingereza tu nzuri sana na wanaongea english tu.

Last time nasikiliza mpaka watu wanapiga simu kabisa na kutuma message
Hongera sana kwa uzalendo.
P
 
Back
Top Bottom