Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Michael Katembo, jamaa mfagiliaji kweli wa ngoma za asili-sijui alikuwa naonyesha mapenzi ya kweli au ni kwa sababu kapangiwa kazi hiyo. By the way hicho kipinid bado kipo au? maana siku nyingi sijakatiza kwenye redio yetu ya taifa
 
Juma Nkamia - mpira haswa Simba {simpendi huyu}
 
Aliyeuawa mwaka 1986 ni Marehemu Abdul Omari Masoud Jawewa. Huyu alikuwa mtaalamu wa kipindi cah michezo huko RTD. Na aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga miaka hiyo; wakati anauawa alikuwa Meneja wa Bobby Soap, Keko kwa akina Marehemu Virani.

Abdul Masoud ni matunda ya mji wa Bagamoyo, wala hakuwa tapeli.
 
Ahlan wa sahalan.

Nimekumbuka mbali sana.

Namkumbuka Michael Katembo pale studio 3 na kipindi chake cha Midundo asilia.
Namkumbuka Mzee Angalieni Mpendu idara ya utangazaji biashara.
namkumbuka Edda Sanga wa chumba cha habari.

Nili enjo sana field yangu enzi hizo.

Sitaweza kumsahau Mama Tatu Mbotoni ambaye alikuwa mkuu wa maktaba ya rekodi. Klla tulichofanya au kuhitaji tulipitia kwake.

Sijawasahau wazee etu Mafundi mitambo.
Mzee Edmund Mria (mchaga)
Ali Said Tunku
Noel Namaloe

pamoja na wale engine wa OB.

Nilienjoy sna field angu chini ya wakongwe hawa.
 
Lenny Mambombotela ni Mkenya I think,alikuwa KBC,nakumbuka alikuwa na kipindi cha UHALIFU HAULIPI CHOCHOTE(kama sikosei),pia KBC nao walikuwa wazuri sana enzi hizo,bila kumsahau mtaalamu Freddy Obacho Machoka
Ndugu ni mkenya nini sisi tunazungumzia RTD wewe unatuletea watu wa KBC
 
-Deborah Mwenda

-Elizabeth Chalamila(Betty Mkwasa)

-Omar Jongo

-Geofrey Erneo

-Enock Ngombale Mwiru-Handsome boy wa Club Raha Leo Show

-Idrissa Sadallah

-Hendrick Michael Libuda

-Nswima Errrrrrnest

-Richard Leo

-Malima Ndelema

-Mohammed Kisengo

-Rosemary Mkangara

-Nathan Rwehabura

-Nkwabi Ng'wanakilala

-STZ alikuwepo mzee Yusuph Omar Chunda

-Abisai Steven

-Charles Martin Hilary Nkwanga(alivyokuwa Radio one akaanza kujiita Bwana Nkwanga)

-Abdallah Idrissa Majura

-Halima Kihemba
 
Chama Omari Matata
Job Isaac Mwamto (VOK)
Abdul Omar Masoud (Katibu mwenezi wa yanga wakati wa Shiraz Sherrif) RIP
Mikdadi Mahmoud (Bother Miki)
Enock Ngombale
Eda Sanga
Maria Ulimwengu
Suleman Hega
 
Ndugu ni mkenya nini sisi tunazungumzia RTD wewe unatuletea watu wa KBC

Taratibu mkuu,soma hilo bandiko langu vizuri kwanza..Nilikuwa namjibu Sikonge katika bandiko lake ambapo aliandika Leonard Mambombotela????,Lenny Mambombotela alikuwa ni Mkenya...Sasa wewe badala ya kusoma bandiko lote wakurupuka na kuanza kunilaumu kwa kukuletea watu wa KBC....Hata hivyo si vibaya japo tukiwataja watu wa KBC maana enzi hizo ilikuwa ni RTD Idhaa ya taifa,External service na KBC ndo zapatikana,hakukuwa na FM Radio stations
 
Back
Top Bottom