njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Hakuna mtu anayestuka na ujinga wa sope takadini ni kama toto dogo linalochezea matope lakini wengi wamestuka sana kuona ujinga wa kitoto unaofanywa na Hersi na Arafat, vijana wanodaiwa kuwa ni wasomi (may be walifoji vyeti, who knows) waliyoyafanya Jumamosi ni kituko sana wao wanajiona wajanja lakini kwa werevu wao ni mapoyoyo ya hali ya juu.
Tujikumbushe sope takadini alivyowapiga marufuku washabiki wa yanga kwenda uwanjani kuangalia mechi ya simba na plateau utd ilkuwa november 2020, mwaka na nusu tu uliopita na uongozi wa simba ulivyotoa press release kuukana ujinga wake huo.
SASA JIULIZE HAYA ANGEYAFANYA AKIWA YANGA(NA USISHANGAE AKAYAFANYA MAANA HATA HIYO ADHABU KAKATAA KUITEKELEZA AKISAIDIWA NA INJINIA WA MCHONGO) KLABU INGEMSAPOTI HUKU IKIIBUA SHANGWE TOKA KWA MASHABIKI WAO
PIPA NA MFUNIKO PWAGU NA PWAGUZI WALAHI
PWAGU NA PWAGUZI WAKE AKITOA KAULI KAMA HII KWA SASA ATAUNGWA MKONO SANA TU NA VILAZA