Tujikumbushe: Yule Askofu mwenye kiburi amepewa Ukuu wa Kanisa

Tujikumbushe: Yule Askofu mwenye kiburi amepewa Ukuu wa Kanisa

Mambo ya Mungu mtihani......Kuna wakati alimtumia............ Yehu....Nebukadreza.....Sauli....Rahabu....pia alimfungulia...Baraba nakumwacha Yesu asulubiwe....
 
Huo ukuu kaupata kwa kura nyingi, wajumbe waliompigia kura hawakuwa wajumbe halali?
Hizi kura Tanzania unaweza kuzipata hata usiposhiriki uchaguzi, na hata usipopigiwa kura. Tanzania ni nchi ambayo unaweza kushinda kwa kupata idadi kubwa ya kura kuzidi hata idadi ya wapiga kura na matokeo yakawa halali.
Tusiende mbali yeye kesha shinda na yeye ndiye mkuu wa kanisa la kilutheri Tanzania. Huwezi kuhoji wala kwenda mahakamani.
 
Rushwa ilitamalaki haswaa ndani ya uchaguzi wa KKKT
Rushwa inakwenda kuwa sehemu ya kawaida ktk kanisa la KKKT.
Kuna chama kilifadhili sana rushwa ktk uchaguzi huu ili waliyemtaka ashinde na kweli "kashinda"!
Maskini KKKT, ile rushwa ya enzi ile inarudi tena kwa yuleyule mtawala wa KKKT! Shame!
Hongera sana Askofu Shoo tutakukumbuka kwa mengi hasa misimamo yako thabiti.
 
kikubwa sadaka mnatoa
Ndio priority Na. 1 makanisani. Utaona wanapohubiri ktk vyombo vya hbr taarifa kuonyesha na. ya A/c au ya sim utumie hela ikizngka ...nk. uliza wamefanyia nn... loh!
 
Back
Top Bottom