TUJIKUMBUSHE.
________________
Mwandishi: Tukisema Elimu bure au ukisikia neno Elimu bure wewe unaelewaje.?
Mzazi: Naelewa kama ni kitanda ambayo umentandikia na kukaa kuongeaongea kikawaida.
Mwandishi: Elimu Bure maana yake nini.?
Mzazi: Elimu Bure maana yake, usichafue maneno ambayo unaelekezwa.
Mwandishi: Unafahamu wajibu wa wazazi kwa wanafunzi ili waende shuleni.?
Mzazi: Yeye kwa kukicha asubuhi, anapanganika anakwenda ndani ya rekodi. Anachukua mswaki anasimamia pamoja. Wenzake wanapokuja asubuhi anawasalimia na kupeana habari kwa kila kazo. Akitoka hapo ndio safari zake kwenda mahakamani.
Mwandishi: Una Mtoto yuko shuleni.?
Mzazi: Mwenyewe sikumpeleka, labda wamempeleka watu wengineo lakini mwenyewe sijampeleka bado. Eeh, watoto wapo.
Mwandishi: Lakini hawasomi.?
Mzazi: Wanaendelea rikodi za kujenga Taifa. Eeh, watoto wapo.
Mwandishi: Watoto wako wana miaka mingapi.?
Mzazi: Mtoto wangu ana miaka kama 9, mpaka 7, mpaka 8.
Mwandishi: Wako darasa la ngapi.?
Mzazi: Wako darasa ni ya pili.
Mwandishi: Wote.?
Mzazi: Eeh.!
Mwandishi: Unafuatiliaga maendeleo yao.?
Mzazi: Eeh.! Nafuatiliaga.
Mwandishi: Unasomaga madaftari yao.?
Mzazi: Hawajaniletea madaftari. Inawezekana wakiniletea nitayasoma sawasawa.
Mwandishi: Wewe mwenyewe umesoma mpaka darasa la ngapi.?
Mzazi: Mimi nimesoma madarasa yote yameshapita.
Mwandishi: Umeshayamaliza yote.?
Mzazi: Eeh.! Nimeshayamaliza yote.
Mwandishi: Sawa, nakushukuru sana.
Mzazi: Salamu natupia pale rambirambi kwa Mwenyekiti wa TABA anaitwa Malima Ndelema. Namwambia tukumbukane kupitia CRDB.! 😊
#Balozi.......✍️
😃😃