Tujilipue majina yetu maarufu kwenye vitabu vya Guest, Lodge, na Mahotelini

Tujilipue majina yetu maarufu kwenye vitabu vya Guest, Lodge, na Mahotelini

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, mara zote nikenda lodge, guest na hotelini kwenye kunyandua sijawahi kuandika jina langu halisi hasa la mwanzoni japo mara nyingi nafake majina yote mawili.

Sehemu pekee ambayo najiachia kuandika majina ya kweli aidha Kwa kupenda au kutokupenda ni Unguja ama Zanzibar.

Kama mtakagua vitabu vyenu najulikana sana kwa John Popaz. a.k.a Mzee wa Jopo.

Naiandika katika namna yenye ustadi mkubwa sana.

Iko hivyo yaani kudanganya ni maisha na maisha pia ni kudanganya.

Semeni na nyie mnaitwaje majina yenu huko kwenye magesti na malodge mkienda kunyandua.

Hahaaaa hata mademu zangu nawasajilia jina maarufu Joyce Prosper hio ndio Ina match Jopo kwa Jopro.

Kama ni vituko na dhambi ni kazi ya malaika kuendelea kutusamehe kila siku.


Nasubiria a.k.a zenu

Wadiz (maarufu John Popaz a.k.a Mzee wa Jopo)
 
Kanungira Kareem
Senior bachelor
Emanuel saguda kingi
John mboya
Ezra magaso
Hamisi. Y.Rashid
Baziri mwakulumba
Idd mayere
Nasibu Abdul
Daniel agustino
William temba
Ramadhan nyoka
Nk
Raha sana na ninavyoweka sahihi kwa mbwembwe na alama ya ya mwenge najidai sana
 
Huwa naandika majina yangu halisi maana ukitokea msala na ukakutwa umetumia jina fake kazi unayo mjomba
Tuliwahi vamia pahala ukafanyika msako mmoja sijawahi ona.
😀😀😀😀😀😀😀
Nilikaa hiyo sehemu siku 33,nikiwa na majina halisi.

Aisee jamaa waliweka ndani nusu ya watu wote ya ile Lodge waliokuwa na ID na majina fake.

Ni kiwa kirefu sana,ambacho mpaka sasa hata ukosee jina langu sitokuelewa kamwe kuna huduma hizi zetu.
 
Back
Top Bottom